SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hayo mambo ya hulka ni mengine mimi nilikupa fact kuwa mashabiki wamezigwaya rangi za timu ukanibishia kuwa si kweli.Mbona logic ni simple tu, kwa mara ya kwanza Yanga wame introduce rangi ya dark blue kwenye jersey ni huruka ya binadamu kupenda kitu kipya mbona mambo madogo yanakupa shida