changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kwanini msimlipe nyie wenye uchungu na Feisal?Mumlipe sasa Feisal maana kisingizio chenu kilikuwa hamna hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini msimlipe nyie wenye uchungu na Feisal?Mumlipe sasa Feisal maana kisingizio chenu kilikuwa hamna hela
Huu mwandiko [emoji706]Team inajitangaza ina hela ila ilikuwa inamlipa feisal laki nne kwa mwezi na saidou ntibanzonkiza anawadai tambwe aliwapeleka cas hizo hela anakula nani AZAM inawadai hela za gadiel miko mpaka leo wananchiiiii
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hahaaaaa, we jamaa sijui umewaza nini kwa hii commentWenzako walikua wanaimba table wewe upo busy kula ubuyu na barafu matokeo yake hata 3×2 haujui
Aiseee we jamaa na majibu yako 😁😄😁😄😁Mungu saidia hii pang'ang'a ijitambue
Unazungumzia aibu kama hii? View attachment 2500688
Unajifurahisha au unataka tu kuleta ubishi wa kijingaUkifingwa mechi tatu za kwanza hizo 6 zinafikaje wakati mnakuwa mnakamilisha ratiba tu
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mkuu hii kitu baraza la kiswahili walikataza na walitoa onyo kali na kuahidi adhabu kwa atakayetumia vibaya hii nembo na kupotosha umma hii ni baada ya kumuona yule nguruwe pori analeta masikhara na baraza la kiswahili likatoa onyo ukidakwa utataja wenzakoJichunge usiwe kifeweView attachment 2501726
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mkuu hapa tuko kwenye utani wa Simba na YangaMkuu hii kitu baraza la kiswahili walikataza na walitoa onyo kali na kuahidi adhabu kwa atakayetumia vibaya hii nembo na kupotosha umma hii ni baada ya kumuona yule nguruwe pori analeta masikhara na baraza la kiswahili likatoa onyo ukidakwa utataja wenzako
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Njoo nikununulieNisiwe mnafiki hii jersey ni kalii mnooooo.
Nimeielewaaaa iko on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapaaa mmetishaaaa mweeeeh!! Hongereni utopolooo.View attachment 2500785
Kwenye hizo jezi tatu je unajua jezi ipi n ya nyumbani? Jezi ya bue ndio jezi ya nyumbani na ya kijani ni ya ugenini na njano ni jezi ya ziadaInakuwaje mashabiki wengi wa Yanga wamekimbilia jezi za blue na mmezigwaya jezi za njano na zile za kijani? Hizi rangi ndiyo utambulisho wenu toka enzi na enzi, mna maana gani kuzikacha jezi za rangi hiyo? Je kuna mashabiki wanaona aibu kutambulika kirahisi kama ni Uto maana jezi za blue na jina la mdhamini mpya itachukua muda kuzoeleka kama ni za Yanga.
Najua hilo ila jezi zilizouzika ni za blue na zingine zimebaki na ndiyo swali langu lilipo. Tena kuipa kipaumbele ya blue na kuiweka ya njano kama ya ziada inaonyesha zaidi kuwa swali langu lina mantiki.Kwenye hizo jezi tatu je unajua jezi ipi n ya nyumbani? Jezi ya bue ndio jezi ya nyumbani na ya kijani ni ya ugenini na njano ni jezi ya ziada
Hizo za home hakuna aliyekukataza kuzi report weweHizi zote away, endelea kuripot
Mimi dini yangu inanikataza kumuita au kumfananisha na mnyama binadamu yoyote yule katika hali na mazingira yoyote aliyonayo.Mkuu hii kitu baraza la kiswahili walikataza na walitoa onyo kali na kuahidi adhabu kwa atakayetumia vibaya hii nembo na kupotosha umma hii ni baada ya kumuona yule nguruwe pori analeta masikhara na baraza la kiswahili likatoa onyo ukidakwa utataja wenzako
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Najua hilo ila jezi zilizouzika ni za blue na zingine zimebaki na ndiyo swali langu lilipo. Tena kuipa kipaumbele ya blue na kuiweka ya njano kama ya ziada inaonyesha zaidi kuwa swali langu lina mantiki.
Kubadili brand ya muda mrefu ikiwemo rangi zinazohusisha brand hiyo halitakiwi kuwa jambo rahisi ila kwa kuwa uzi ni mkali litapita tu. Niliwahi hata kupinga timu ya taifa kuvaa jezi nyeupe.
Huyu Jamaa Sheria ngowi huwa hakosei..... hiyo ya blue kesho mapema itakuwa mwilini mwangu
Sitakiiii