Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki

Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo

Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
CONNECTION iloandikwa humo ni ile ya mama J ama kuna nyingine inakuja?
 
Utopolo hapa wametumia akili nyingi.

Sisi kujidai uzalendo wa kipuuzi? Uzalendo upo moyoni, si nguoni.

Hatutaki tena VISIT TANZANIA, tunataka Mpunga.
Hii biashara kichaa ya Visit Tanzania kwani haina mwisho?

Kama wameshindwa kuitangaza Tanzania kwa Royal Tour, mengine ni kupotezeana muda tu.
 
Zamani Jf ilikuwa na watu waelewa sn,sasa hivi imevamiwa na kundi la vilaza kama uyu anayeaminisha watu kwamba serikali iliwalazimisha Simba kuvaa VISIT TANZANIA [emoji1745]
SaSa hutaki? ilikuwa ni ombi la serikali kupitia wizara ya utalii na kuna speech ya Ndumbaro akilizungumzia hilo.
 
Anayenipenda jamani aninunulie hiyo jezi [emoji847]
JamiiForums395122924.jpg
 
Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki

Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo

Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
sema huyu Sheria Ngowi anastahili sanamu pale jangwani...justkidding
 
Back
Top Bottom