Unknown philosopher
Member
- Sep 3, 2022
- 40
- 90
Mm shabili wa simba ila kwa iziz jez mmeua ingawaje mmeiga lakini jez kal kama ile nyeusi na kijan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata kuongea ni makosa? Daaah hii nchi hii[emoji119][emoji119]Mkuu. Kama vipi tafuta pesa za kutosha, ili uwekeze wewe.
Mpira ni biashara ila sio kila mara utapatia.
WachinaNipo nje ya mada,hawa HAIER ni kampuni ya wapi? huwa naona friji zao majumbani mwa watu,ubora wake upoje na kama kuna link ya kuona frji zao naomba.
Mkuu we unaona sawa Mo Xtra atoe mil 150 Kwa Mwaka wakati Hawa Haier wanatoa bil 1.5 Kwa mechi chache tu za caf confederation cup??Mna comment na kujijibu mwenyewe!! Kweli wenye akili ni wawili tu.
Doooh kumbe,electronics za china mie hapana kwa kweli.Wachina
Weka ushahidi izo fedha zitaenda GSM, vinginevyo itakuwa ni Wivu tu unaokusumbuaHakuna cha viongozi makini hyo hela yote inaenda Kwa GSM , nyie mnabak kupayuka Tu mitandaoni
Akili haunaHakuna cha viongozi makini hyo hela yote inaenda Kwa GSM , nyie mnabak kupayuka Tu mitandaoni
Naenda kununua duka lilipo salamander tower huwa hakuna bugudha hata zile za msimu huu nilinunua hapo fresh kabisa𝑺𝒊𝒑𝒂𝒕𝒊 𝒑𝒊𝒄𝒉𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝑵𝒚𝒐𝒎𝒊 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂𝒗𝒚𝒐𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒑𝒂𝒍𝒆 𝑫𝒖𝒌𝒂 𝒍𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝑱𝒂𝒏𝒈𝒘𝒂𝒏𝒊.. (𝑰𝒕𝒂𝒃𝒊𝒅𝒊 𝒖𝒘𝒂𝒉𝒊 𝒉𝒂𝒔𝒘𝒂)
𝑾𝒂𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖𝒛𝒊 𝒏𝒂𝒐 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒌𝒐𝒔𝒆𝒌𝒂𝒏𝒊, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒏𝒖𝒏𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒎𝒍𝒂 𝒖𝒕𝒂𝒔𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒖𝒛𝒂 𝑳𝒂𝒌𝒊, 𝒍𝒂𝒌𝒊 𝒎𝒃𝒊𝒍𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒑𝒂𝒕𝒆 𝒇𝒂𝒊𝒅𝒂..𝒘𝒂𝒛𝒆𝒆 𝒘𝒂 𝒇𝒖𝒓𝒔𝒂
Iko vyediiiiiAway Kit for CAF CCView attachment 2500695
𝑶𝒌𝒂𝒚 𝒊𝒍𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝑵𝒊𝒎𝒆𝒔𝒊𝒌𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒖𝒛𝒊𝒂 𝒕𝒖 𝒑𝒂𝒍𝒆 𝑫𝒖𝒌𝒂𝒏𝒊 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒂𝒐 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒖Naenda kununua duka lilipo salamander tower huwa hakuna bugudha hata zile za msimu huu nilinunua hapo fresh kabisa
Kabisaaaa hata mie hii ya kijani naona iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]jezi ni nzuri haipingwi hiyo,
mi binafsi nimevutiwa na hiyo ya katikati 'kijani',, ni uzi mkali sana
umeona eeh.Kabisaaaa hata mie hii ya kijani naona iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapaa wametishaa aseeeh
Manyokanyoka kazi yao ni kugongagongaManyokanyoka [emoji706]