Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Official Young Africans SC CAF Confederation Cup Kits 2023

Designer ametutendea haki wananchi
Binafsi nimeielewa sana hiyo aliyovaa mayele na musonda.

Jezi nzuri mno.

1675106927033.jpg
1675106930224.jpg
1675106933293.jpg
 
Attachments

  • 1675106906895.jpg
    1675106906895.jpg
    40.9 KB · Views: 5
  • 1675106911392.jpg
    1675106911392.jpg
    42.4 KB · Views: 5
  • 1675106915440.jpg
    1675106915440.jpg
    51.5 KB · Views: 5
Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki

Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo

Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
Mashabiki wenyewe ni waganga wa kienyeji na mashoga. Nani anunue jezi 50,000
 
Kesho mapema naenda dukani
𝑺𝒊𝒑𝒂𝒕𝒊 𝒑𝒊𝒄𝒉𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝑵𝒚𝒐𝒎𝒊 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂𝒗𝒚𝒐𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒑𝒂𝒍𝒆 𝑫𝒖𝒌𝒂 𝒍𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝑱𝒂𝒏𝒈𝒘𝒂𝒏𝒊.. (𝑰𝒕𝒂𝒃𝒊𝒅𝒊 𝒖𝒘𝒂𝒉𝒊 𝒉𝒂𝒔𝒘𝒂)

𝑾𝒂𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖𝒛𝒊 𝒏𝒂𝒐 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒌𝒐𝒔𝒆𝒌𝒂𝒏𝒊, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒏𝒖𝒏𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒎𝒍𝒂 𝒖𝒕𝒂𝒔𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒖𝒛𝒂 𝑳𝒂𝒌𝒊, 𝒍𝒂𝒌𝒊 𝒎𝒃𝒊𝒍𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒑𝒂𝒕𝒆 𝒇𝒂𝒊𝒅𝒂..𝒘𝒂𝒛𝒆𝒆 𝒘𝒂 𝒇𝒖𝒓𝒔𝒂
 
Aisee Uto mko vizuri kwenye designing.Natamani na sisi tuwe hivyo. Tatizo lenu mwonekano na matokeo kwenye pitch (huko kimataifa) ni kama mafuta na maji. Yaani mnakuwa kama mwanafunzi mnadhifu kuliko wote dhuleni ila mwisho wa siku anapiga division 0 Necta.
😂 kwenye hilo tunalifanyia kazi, makolo kimataifa sio siri mmetuacha mbali ila tutafika na kuwaacha hapo mlipofika sasa ni suala la muda tu maana uwekezaji sina shaka nao.
 
Aisee Uto mko vizuri kwenye designing.Natamani na sisi tuwe hivyo. Tatizo lenu mwonekano na matokeo kwenye pitch (huko kimataifa) ni kama mafuta na maji. Yaani mnakuwa kama mwanafunzi mnadhifu kuliko wote dhuleni ila mwisho wa siku anapiga division 0 Necta.
Hiyo mada tutazungumza siku nyingine. Asante kwa kuukubali uzi.
 
Back
Top Bottom