Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

e45e991f-3d19-44aa-8139-3893f7ad936f.jpg
 
Aisee Uto mko vizuri kwenye designing.Natamani na sisi tuwe hivyo. Tatizo lenu mwonekano na matokeo kwenye pitch (huko kimataifa) ni kama mafuta na maji. Yaani mnakuwa kama mwanafunzi mnadhifu kuliko wote dhuleni ila mwisho wa siku anapiga division 0 Necta.
Tumemtoa mwarabu kwao akiwa na advantage ya kusonga mbele,wale si ndio sisi Yanga??
 
Viongozi makini wanaojua jinsi ya kuingia mikataba yenye maslahi kwa Vilabu vyao wameonesha njia Leo.

Sisi wa upande wa pili ambao tunachagua wanasiasa waliofeli siasa waje kutuinua Tutaendelea kupigwa pale tukome.

Na bado tutapigwa sana ndoige paka akili zitakapotukaa sawa huu ni mwanzo tu.

Mliosoma Cuba mtakuwa mmenielewa

[emoji881]Nguvu Moja[emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom