Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Nipo nje ya mada,hawa HAIER ni kampuni ya wapi? huwa naona friji zao majumbani mwa watu,ubora wake upoje na kama kuna link ya kuona frji zao naomba.
 
𝑺𝒊𝒑𝒂𝒕𝒊 𝒑𝒊𝒄𝒉𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝑵𝒚𝒐𝒎𝒊 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂𝒗𝒚𝒐𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒑𝒂𝒍𝒆 𝑫𝒖𝒌𝒂 𝒍𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝑱𝒂𝒏𝒈𝒘𝒂𝒏𝒊.. (𝑰𝒕𝒂𝒃𝒊𝒅𝒊 𝒖𝒘𝒂𝒉𝒊 𝒉𝒂𝒔𝒘𝒂)

𝑾𝒂𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖𝒛𝒊 𝒏𝒂𝒐 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒌𝒐𝒔𝒆𝒌𝒂𝒏𝒊, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒏𝒖𝒏𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒎𝒍𝒂 𝒖𝒕𝒂𝒔𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒖𝒛𝒂 𝑳𝒂𝒌𝒊, 𝒍𝒂𝒌𝒊 𝒎𝒃𝒊𝒍𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒑𝒂𝒕𝒆 𝒇𝒂𝒊𝒅𝒂..𝒘𝒂𝒛𝒆𝒆 𝒘𝒂 𝒇𝒖𝒓𝒔𝒂
Naenda kununua duka lilipo salamander tower huwa hakuna bugudha hata zile za msimu huu nilinunua hapo fresh kabisa
 
Naenda kununua duka lilipo salamander tower huwa hakuna bugudha hata zile za msimu huu nilinunua hapo fresh kabisa
𝑶𝒌𝒂𝒚 𝒊𝒍𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝑵𝒊𝒎𝒆𝒔𝒊𝒌𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒖𝒛𝒊𝒂 𝒕𝒖 𝒑𝒂𝒍𝒆 𝑫𝒖𝒌𝒂𝒏𝒊 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒂𝒐 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒖
 
Nisiwe mnafiki hii jersey ni kalii mnooooo.
Nimeielewaaaa iko on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Hapaaa mmetishaaaa mweeeeh!! Hongereni utopolooo.
FB_IMG_16751121751849708.jpg
 
Back
Top Bottom