Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Mbona logic ni simple tu, kwa mara ya kwanza Yanga wame introduce rangi ya dark blue kwenye jersey ni huruka ya binadamu kupenda kitu kipya mbona mambo madogo yanakupa shida
Hayo mambo ya hulka ni mengine mimi nilikupa fact kuwa mashabiki wamezigwaya rangi za timu ukanibishia kuwa si kweli.
 
Utopolo hapa wametumia akili nyingi.
Inahitaji ujasiri wa kichawi kutumia maneno utopolo na kutumia akili katika sentensi moja
Ha ha haa! Umenikumbusha mbunge mmoja alismsema mwenzie kuwa Mheshimiwa ameonyesha upumbavu wa hali ya juu!
Yule aliyeitwa mpumbavu akainuka na kusema basi kama yeye ni mpumbavu, asiitwe mheshimiwa!
 
Ni sawa na mwanafunzi kuwa na madaftari na kalamu za gharama kubwa ila mwandiko na kinachoandikwa ndani ya madaftari ni madudu matupu

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…