Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

Yanga Ni litimu likuuuuuuuubwa Sana
[emoji172][emoji169][emoji16]
 
Kama hauna historia mbona mnajiita mabingwa wa kihistoria ,sijui nyie viumbe wa yanga mpoje ,Yan mnajigeuza geuza km maharage ya songea
Historia ni wakati uiliopo, uliopita na ujao. Kuwa mabingwa wa kihistoria wala si ajabu lwa yanga
 
Baada ya ushindi wa jumatano kwa Kasi Sana yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 africa na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9.

Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila yanga ikifungwa tu kelele zinaanza.

Yanga ndio habari ya mjini nimetazama wiki hii vyombo vya habari vya waarabu kule Egypt, Morroco,Aligeria na tunisia Wana discuss yanga .

Na kutoa tahadhari kwa timu ambazo bado zipo shirikisho kutoka kwenye nchi zao huenda zikakumbana na alichokumbana nacho club Africain
Kama yanga ni ya 46 Simba ya ngapi?
 
Wazee wa zamani hawakusoma lakini hekima zao zinadumu.WALIWAHI KUNENA matako yakipata masikini hulia mbwata.
 
Utopolo bana... Yani nimeamini ule usemi wa masikini akipata matakao hulia....

Mpaka aibu naona mimi...
 
Aisee Yanga inaogopesha! Ukija kwenye ligi nako, haifungiki!! Hii Yanga hii, we acha tu.
 
Thread imekaa kimbwa mbwa na kunuka kinyesi
 
Back
Top Bottom