Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

Nani aliyeiweka nafasi ya 11 kwanza ulipaswa useme kabla ya hilo la pili
 
Huu uzi unafurahisha,

Yaani anayeshiriki KLABU BINGWA AFRIKA(KOMBE LA MABINGWA WA BARA LA AFRIKA) ametulia ila kina dada wanaoshiriki LOSER'S CUP (KOMBE LA WALIOFELI AU WALIOSHINDWA) kutwa chupi mkononi na vijora vyao wanabwabwaja na kudai wanaipandisha PL kimataifa ....khaaaaa
Your browser is not able to display this video.
 

Kwa hakika Yanga ni malimbukeni. Hapo Simba kakaa nafasi za juu kwa miaka kadhaa lakini hakuna hata ujivuni. Lakini utopolo bada hata 20 hawajafika wanaanza kelele
 
kuna kila dalili sasa taifa linaenda kujivunia kwa kutoa klabu iliyobeba kombe la afrika(YANGA) na si robo fainali inayopigiwa upatu kwamba ndo mafanikio,kila la heri wananchi ktk juhudi zenu za kuliheshimisha taifa kimataifa
 
Wiki hii bado mnaota ota hamuamini kama kweli mpo shirikisho kombe la loser. Kwa ushindi mwembamba wa bao moja
 
Sasa kama yanga kuingia tu makundi shirikisho ligi yetu imepanda kwa kasi kiasi hicho vipi kwa simba aliyeingia makundi ligi ya mabingwa barani Africa kwa kushinda mechi zote?
Wakikujibu nitag
 
Tulishakubaliana mafanikio pekee ni kuchukua kombe hayo mambo ya nafasi mlisema tusiseme sio mafanikio mkileta kombe hapo sawa.
Wamesha chachawa na kuingia makundi, wamesahau yote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala mihogo FC
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi.
 
Kama hauna historia mbona mnajiita mabingwa wa kihistoria ,sijui nyie viumbe wa yanga mpoje ,Yan mnajigeuza geuza km maharage ya songea
Kolo tutaelewana tu😄
 
Yanga yanga na vitimu vingine vya nchi hii vinatuchelewesha sana. Kama nchi tungekuwa mbali sasa. Kazi midomo tu.
Mara "mabingwa wa kihistoria,"
mara "unbeaten "
mara "utopolo"
mara "wala mihogo"
Wenzetu wanatuacha huko duniani.
Hayo ni maneno ya makolo
 
Sasa kama yanga kuingia tu makundi shirikisho ligi yetu imepanda kwa kasi kiasi hicho vipi kwa simba aliyeingia makundi ligi ya mabingwa barani Africa kwa kushinda mechi zote?
Utaumiza tu kichwa chako, ukitilia maanani mambo ya hawa HAMNAZO, ukiondoa wale wawili!
 
Yaani kuna mada nyingine unazisoma kisha unabaki kucheka tu hata kukomenti unashindwa Maana hazina kichwa wala miguu.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…