Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.

Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa dharura kufuatia matokeo ya timu hiyo baada ya kuchapwa dhidi ya Tabora United.

Mwananchi limethibitishiwa kuwa kikao hicho kinaendelea muda huu kwenye ofisi za Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said zilizopo Jengo la Salamand

PIA SOMA
- News Alert: - Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Source: Mwananchi insta page
 
Hersi anatengeneza mazingira ya kujitetea anaenda kutafta wa kumtwish zigo wakati yeye ndo anakula hela za yanga na boss wake anaebet
Bosi gani anaebet?!
 
Bosi gani anaebet?!
GZM na engineer wote wanabet na kunegotiate na wahindi kula mafungu na kuchana mikeka kuokoa mtaji wa muhindi na kuwapa walalahoi wa yanga wanaotokwa mate kusifia timu nzuri matokeo yake inajipigisha Tabora
 
Duuuh! Kumbe!
 
Taaria yao hii hapa

Screenshot_2024-11-08-00-04-47-1.png

Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.

Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa dharura kufuatia matokeo ya timu hiyo baada ya kuchapwa dhidi ya Tabora United.

Mwananchi limethibitishiwa kuwa kikao hicho kinaendelea muda huu kwenye ofisi za Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said zilizopo Jengo la Salamanda.

Mwananchi
 
Wame dominate kwa zaidi ya 80% kwenye box la mpinzani mida wote wanashambulia wao tu, nafasi wanatengeneza ila wanakosa

Sasa hapo Gomond anaingiaje kwenye hiyo lawama?
 
Taaria yao hii hapa

View attachment 3146587
Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.

Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa dharura kufuatia matokeo ya timu hiyo baada ya kuchapwa dhidi ya Tabora United.

Mwananchi limethibitishiwa kuwa kikao hicho kinaendelea muda huu kwenye ofisi za Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said zilizopo Jengo la Salamanda.

Mwananchi
Yap
 
Timu za mpira barani Afrika ni tatizo kubwa.
Unapoteza mechi mbili tu unalalamika??
 
Back
Top Bottom