Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.

Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa dharura kufuatia matokeo ya timu hiyo baada ya kuchapwa dhidi ya Tabora United.

Mwananchi limethibitishiwa kuwa kikao hicho kinaendelea muda huu kwenye ofisi za Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said zilizopo Jengo la Salama
20241108_030658.jpg
nda.
 
Mambo mazito
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Nikisema mfalme yuko uchi nitafukuzwa kazi, ngoja ninyamaze atoke hivyohivyo ulimwengu ushuhudie.
 
Timu unawapa wahuni wa kariakoo waliojioachika uinjinia unategemea nini?
Wewe yule ni engeneer wa kweli acha kushusha hadhi za watu. mpiara mpira na professional ni professional.
 
Back
Top Bottom