Sisi ndiyo Simba SC AKA;Mambo mazito
Ndiyo tz yetu ilivyo,unaumwa goti lakini unatibu kichwa.Wakimtimua ntawaona wehu
Azizi Ki anakosa penati, Gamond anahusikaje?
Ukitumia akili kidogo tu utajua anahusika vipi.Wakimtimua ntawaona wehu
Azizi Ki anakosa penati, Gamond anahusikaje?
Wewe yule ni engeneer wa kweli acha kushusha hadhi za watu. mpiara mpira na professional ni professional.Timu unawapa wahuni wa kariakoo waliojioachika uinjinia unategemea nini?