Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Viongozi wa mpira watuondoe hapa.
Viongozi wanajadili vitu vidogo sana rangi ya logo ya mdhamini,bukta ,pensi na kaptula nk.
Wajadili jinsi ya kuongeza wadhamini kujenga viwanja,kuwa na vitega uchumi vya klabu nk.
waache kujishughulisha na vitu vidogo vidogo.
 
Shida sio viongozi shida ni katiba ya timu ipo kizamani sana
 
Wasipewe mgao wao SIMPLE Mkuu.

 
Hoja iliyotolewa ni ya kijinga sana!

Kwani hiyo katiba ni msaafu kiasi cha kutofanyiwa amendments.

Dr Msola uliahidi professionalism na soka la kisasa siyo hayo mambo ya shirki.
 
Yaani huu ni upuuzi wa hali ya juu, kama wamegomea kuvaa nembo za mdhamini. Waondelewe kwenye ligi. Wakacheze ndondo cup, shida iko wapi?
Waondolewe kwa kanuni ipi?
 
Yanga ni Kubwa sana kuliko Simba, TFF, Vodacom n.k. ukitaka Ku prove hilo fuatilia hili sakata uone wataonyoosha mikono juu. Manguo mekundu wavae walio kwenye siku yao(simba day). Usithubutu kutuletea wananchi huo ushenzi tutakugonga makonde urudi na manundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…