Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Unaenda Tanga badala ya kufanya mazoezi unaenda kushangaa BAIKOKO.
 
Utopolo wa ajabu sana unarekebisha vyumba kwa milion 180 wakati huo huo wachezaji wanadai pesa zao na bado kila kukicha kesi fifa unadhani ni mchezaji gani atajituma
 
Taangaaaaaaa;
Tanga raha
mapenzi yalipoanzia;
waja leo waondika leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…