Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuulz ManaraKwani yanga na liverpool wanacheza lini
Washachomolewa tayari mkuuYanga na msipo utoa huo Mwiko huko Matakoni mtaendelea kuteseka tu.
Jane Lowassa Njoo tuungane tuanze kubet, mimi nitatoa mtajiYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
GSM inauza jezi za Yanga,kaweka nembo yake lakini agharamii timu kwa 100%.Kesho Mwakalebela akiita press release sijui atalalamika nini maana kama penati walipewa
Wamezoea hao kukalia mwikooYanga na msipo utoa huo Mwiko huko Matakoni mtaendelea kuteseka tu.
Hatari sanaMpaka sasa ushindi wa nje ya uwanja tayari Costal Union washampiga Yanga 2-0.
Aminia sana wazee wa Tanga,ni watu penye watu.
hv saizi ndo baadae...? 😇 😇Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
SawaHao coastal Union leo wanachezea kichapo hapo hapo kwao, hakuna wa kuzuia kipigo kitakacho wakuta
Heshima kwakoYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Malizana na ya mikia kwanzaGSM inauza jezi za Yanga,kaweka nembo yake lakini agharamii timu kwa 100%.
Anaitumia Yanga kama daraja la kupiga pesa za jezi na matangazo ya kampuni yake.
uko wapi umeshapata matokeo ya mwisho..mje tena basi utelembwe FC mtupatie matokeo sasa hivi baada ya TK Master kufanya yake.....shubaamit