Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Masikini Yanga...walishaanza kunenepa wenyewe dah! maisha hayana fair kabisa.
 
Huu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata[emoji38]
Hamna wachezaji Talented
 
majaliwa ya Yanga kubaki kileleni ni kuchacha kwa viporo vya Simba...[emoji196][emoji196][emoji196]HAVICHACHI NG'O...!!!![emoji196][emoji196][emoji196]
 
majaliwa ya Yanga kubaki kileleni ni kuchacha kwa viporo vya Simba...[emoji196][emoji196][emoji196]HAVICHACHI NG'O...!!!![emoji196][emoji196][emoji196]
Hawezi tena,utepe umeshakatwa njia nyeupee,watu watakuwa wanajipigia tu iko nje nje kama ya mbuzi vile
 
.
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Awakuomba ilikua mechi ya FA ovyo ovyo wangetolwa kwa mpira ule ilikua ni mechi muhimu kabisa
 
Hawa jamaa wanalo, ni mpaka wachomoe huko mwiko nyuma.....πŸ˜‚πŸ˜‚.

Yanga ....Daima mbele.... Nyuma MwikoπŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG-20210228-WA0001.jpg
    28.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20210305-165905_Instagram.jpg
    118.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…