Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Bila ya ushabiki Lile Ni goli dhahiri kabisa Wao Walivyomsukuma mwanzo hukuona na Refa akapiga kimya
Hili goli ni faulo mkuu ni makosa tu ya kibinadamu ya mwamuzi na kama ndio angefungwa yanga goli Kama hili usinge sema hivo hapa.
 
Yanga kila mechi fainali
Huu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata😆
 
Huu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata😆
Team mbovu ndio maana mnashinda kwa taaabu sana
 
Huu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata😆
kwa kuwa kila mechi inakutana na timu nzuri kuizidi
 
FT yanga 3 wadogo zake paka 1
Na hiwe fundisho kwa wengine
 
Wao Rafu zao Huzioni Sio [emoji1]
Nakuuliza hilo goli wangefungwa Yanga ungelikubali??

Na ndo lingekuwa la ushindi si mngeita press ya kususa ligi kesho.

Ngumi za kina Fiston unaziona mbona hapewi kadi, kipa wa coast anavyo gongwa gongwa kila saa unaona au huoni!? Nimesema goli wamepata ila ni kwa makosa ya mwamuzi sijui kama unaelewa.
 
Back
Top Bottom