Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Hawa Coastal Union Wangekuwa Wanakamia hivi kila mechi si wangekuwa mbali, af mechi ijayo utaskia kapigwa nne na KMC [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekamia nini hapo? Mbona wamekoswakoswa sana. Sema forward ya Yanga full utopolo.
 
Ila tuseme tu ukweli bila ushabiki hili goli la Kisinda lina utata ni dhahili kabisa Kisinda alicheza Faulo kwa beki Cost kabla ya Kufunga goli.

Hili halikustahili kuwa goli ni makosa tu ya mwamuzi.
Amesukumwa beki wa Coastal akaanguka ni faulo ya wazi na bado mpira umedunda ameushika Kisinda, refa ameacha tu, wangekuwa wao kesho Press Conference.

Mwamuzi ameamua kuwapa bao Uto
 
Back
Top Bottom