Hili goli ni faulo mkuu ni makosa tu ya kibinadamu ya mwamuzi na kama ndio angefungwa yanga goli Kama hili usinge sema hivo hapa.Bila ya ushabiki Lile Ni goli dhahiri kabisa Wao Walivyomsukuma mwanzo hukuona na Refa akapiga kimya
Nilijua nimeona peke yanguFiston kapiga mtu ngumi mbele ya refa, hata kadi ya njano haijatolewa
Huyu refa
Huu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata😆Yanga kila mechi fainali
Jamaa anataka asimamishwe akae nje ya uwanja ili ubovu wake usionekaneFiston kapiga mtu ngumi mbele ya refa, hata kadi ya njano haijatolewa
Huyu refa
Team mbovu ndio maana mnashinda kwa taaabu sanaHuu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata😆
kwa kuwa kila mechi inakutana na timu nzuri kuizidiHuu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata😆
Yanga wanafundishwa ndondi mazoezini, kila mechi lazima warushe ngumi.Fiston kapiga mtu ngumi mbele ya refa, hata kadi ya njano haijatolewa
Huyu refa
Wao Rafu zao Huzioni Sio [emoji1]Hili goli ni faulo mkuu ni makosa tu ya kibinadamu ya mwamuzi na kama ndio angefungwa yanga goli Kama hili usinge sema hivo hapa.
Poa,ngoja nimcheki mjukuu wa Ba mchawi arekebishe upepo.Ingekuwa 2-1 ile kama mchezaji wa coast angetulia
Nakuuliza hilo goli wangefungwa Yanga ungelikubali??Wao Rafu zao Huzioni Sio [emoji1]
Endelea kuotaFT yanga 3 wadogo zake paka 1
Na hiwe fundisho kwa wengine