Hahahha halafu imekuwaje tenaWalisema wamemleta kwa mpango wa muda mrefu ambao kazi yake ni kuifanya Simba iendelee kutawala soka la Afrika
Asante tumepigwa, huenda watajifunza jambo, japo sikupenda hii itokee mtani🤣[emoji23][emoji23]
Hata ivyo hii mechi yanga wamebebwa sana,tena sana tu.
Nanyie mnasubili mechi ya Simba tu ndio mje mcheze kiumeHawa Coastal Union Wangekuwa Wanakamia hivi kila mechi si wangekuwa mbali, af mechi ijayo utaskia kapigwa nne na KMC [emoji23][emoji23][emoji23]
Vp ule mpango wa kususa si bado upo kwenye mchakato?[emoji23]Asante tumepigwa, huenda watajifunza jambo, japo sikupenda hii itokee mtani[emoji1787]
luwasa nimekukubali mkuu heshima yako chiefYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Khartoum, SudanUnaiombea Yanga mabaya ukiwa wapi
Nataka kusikia danadana nyinyine leo toka ikulu yetu ya jangwa🤪Vp ule mpango wa kususa si bado upo kwenye mchakato?[emoji23]
[emoji23][emoji23]HATUKUBALI TUNATAKA TURUDIE ILE PENALT
MkwakwaniUnaiombea Yanga mabaya ukiwa wapi
Unaiombea Yanga mabaya ukiwa wapi
Sio chief, huyo ni malkia Jane Lowassaluwasa nimekukubali mkuu heshima yako chief