Simba ni kama mwanamke kahaba, kidume keshasema hahitaji kulala nawe, unaanza kutamba mitaani, ooh hawezi show, kanikimbia. Mbona vidume wapo wengi tu huko?Kwa hiyo ukiwa na bifu na mtendaji mmoja (tena wa kuajiriwa tu), ndio sababu ya kujitoa kwenye mashindano? Nchi ngapi zilikuwa zinatofautiana na Sepp Blatter wa FIFA? Ulishawahi kusikia zimejitoa kushiriki kombe la dunia? Hiyo sio sababu, kikubwa hapo ni kuikimbia Simba, kama ilivyofanya kule Nakuru kwenye SportPesa
Lakini wameshawahi kutia mpira kwapani na kuikimbia Yanga pale shamba la bibiVyuraaaaaaaa!!!!!
Sasahivi mnadabu sana.. Nakumbuka simba pamoja na matatizo yanayojitokeza lakn haijawahi kujitoa kwenye mashindano kisa et kuiogopa yanga
Kwa sababu fulani anashiriki haiwezi kuilazimisha Yanga. Msomali hawezi kuipa Yanga ultimatum za Ki Alishabab.Sababu walizotoa Yanga hazina mashiko kwenye kujitoa,maana Goro mahia,nahao wanyaranda wapo kwenye mashindano na bado wanashiriki cecafa.
Kama mabata...Hao majamaa ni waoga
hivi mashabiki simba wanafikiri kutumia nini? Kwani simba na yanga zimekutana Mara ngapi? Kuna kipindi kama sikosei mwaka 2000 kila mechi ya simba vs yanga, simba ilkuwa ikishinda tens goli nyingi na sio kama sasa ambapo kelele nyingi zisozo endana na uhalisia. Nivizuri kufikiri kwa namna sahihi.Hapo ndio naamini viongozi wengi wa Yanga kichwani hakuna kitu!!! Utamuogopaje mpinzani wako hata kabla ya kuingia ulingoni huo ni udhaifu wa hali ya juu sana.YANGA wangeweza kutumia mechi hiyo kujiingizia kipato kwani kwasasa wamefulia na mashabiki wao hata kwenda uwanjani wanaona aibu, pili kama YANGA wangebahatika hata kutoa draw na SIMBA kwenye mechi ya KAGAME au kushinda basi club ingekuwa na furaha na amani na mashabiki wangekuwa na furaha kama wamechukua ubingwa na hata kama wangefungwa bado wangekuwa na kisingizio kuwa timu yao bado wanaisuka upya.Wanachokwepa sasa hivi watakuja kufungwa na simba wakati wa ligi mwakani na mashabiki hawatawavumilia tena.YANGA wanasema wanataka kujiandaa na mechi yao na GORMAHIA wakati GORMAHIA watakuwepo kagame kushiriki mashindano hayo hayo.Hivi mbona kagera sugar hawakuogopa kucheza na simba mbele ya magufuli na umati ule wa mashabiki wa samba na wakaweza kuwafunga simba.Au yanga sasa sio levo moja na simba ipo levo na JKU!
Kama mabata...
Simba anaingia kama mualikwa.Klabu bingwa Afrika Mashariki na kati...sasa Simba alikuwa bingwa mwaka Jana???anaingia kama nani???Azam bingwa mtetezi
kama munajiamini kwanini msipeleke hiko kikosi b huko kagame?visingizio vya kitoto ni kishoga kwahiyo hao GOR MAHIA NA RAYON SPORTS hawashiriki shirikisho?mbona kagame wanachezaRahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
Kama timu maalumu yenye hadhi kubwa kabisa. Kuweni na aibu basiKlabu bingwa Afrika Mashariki na kati...sasa Simba alikuwa bingwa mwaka Jana???anaingia kama nani???Azam bingwa mtetezi
Yanga "afilika"Kwa sababu fulani anashiriki haiwezi kuilazimisha Yanga. Msomali hawezi kuipa Yanga ultimatum za Ki Alishabab.
Hiyo kishoga si Yanga labda baba yako.kama munajiamini kwanini msipeleke hiko kikosi b huko kagame?visingizio vya kitoto ni kishoga kwahiyo hao GOR MAHIA NA RAYON SPORTS hawashiriki shirikisho?mbona kagame wanacheza
YAANI HII MIYANGA YAANI HOVYO KABISA HAISTAHILI HATA KUCHEZA LIGI KUU SHUBAMITT YAANI WALISTAHILI KUWAPO WALIPOKUWEPO NJOMBE MJI
matusi ya nini mkuu wengine hatuwezagi kuvumilia hayo madude utachafua hali ya hewa hapa.
pole kwa ban next time kuwa mstaarab,huu mchezo tu hujui leo na kesho tutakutanishwa na niniSiyo matusi, natilia mkazo kushuka kwao daraja.
Labda kikombe cha chai tu ndio mnawezaMimi Yanga,
Hatuna uwezo wa kunyakua kikombe chochote kwa sasa labda mpaka tupate hela za kutosha na at least 6 months kuset mambo