Yanga yakwepa fedheha kwa Simba, yajitoa CECAFA Kagame Cup

Yanga yakwepa fedheha kwa Simba, yajitoa CECAFA Kagame Cup

Kwa hiyo ukiwa na bifu na mtendaji mmoja (tena wa kuajiriwa tu), ndio sababu ya kujitoa kwenye mashindano? Nchi ngapi zilikuwa zinatofautiana na Sepp Blatter wa FIFA? Ulishawahi kusikia zimejitoa kushiriki kombe la dunia? Hiyo sio sababu, kikubwa hapo ni kuikimbia Simba, kama ilivyofanya kule Nakuru kwenye SportPesa
Simba ni kama mwanamke kahaba, kidume keshasema hahitaji kulala nawe, unaanza kutamba mitaani, ooh hawezi show, kanikimbia. Mbona vidume wapo wengi tu huko?
 
Simba ni kama mwanamke kahaba, kidume keshasema hahitaji kulala nawe, unaanza kutamba mitaani, ooh hawezi show, kanikimbia. Mbona vidume wapo wengi tu huko?
Unakimbia hamsa halafu unajiita kidume. Kakamega haoo kimbia
 
Vyuraaaaaaaa!!!!!
Sasahivi mnadabu sana.. Nakumbuka simba pamoja na matatizo yanayojitokeza lakn haijawahi kujitoa kwenye mashindano kisa et kuiogopa yanga
Lakini wameshawahi kutia mpira kwapani na kuikimbia Yanga pale shamba la bibi
 
Sababu walizotoa Yanga hazina mashiko kwenye kujitoa,maana Goro mahia,nahao wanyaranda wapo kwenye mashindano na bado wanashiriki cecafa.
Kwa sababu fulani anashiriki haiwezi kuilazimisha Yanga. Msomali hawezi kuipa Yanga ultimatum za Ki Alishabab.
 
Hapo ndio naamini viongozi wengi wa Yanga kichwani hakuna kitu!!! Utamuogopaje mpinzani wako hata kabla ya kuingia ulingoni huo ni udhaifu wa hali ya juu sana.YANGA wangeweza kutumia mechi hiyo kujiingizia kipato kwani kwasasa wamefulia na mashabiki wao hata kwenda uwanjani wanaona aibu, pili kama YANGA wangebahatika hata kutoa draw na SIMBA kwenye mechi ya KAGAME au kushinda basi club ingekuwa na furaha na amani na mashabiki wangekuwa na furaha kama wamechukua ubingwa na hata kama wangefungwa bado wangekuwa na kisingizio kuwa timu yao bado wanaisuka upya.Wanachokwepa sasa hivi watakuja kufungwa na simba wakati wa ligi mwakani na mashabiki hawatawavumilia tena.YANGA wanasema wanataka kujiandaa na mechi yao na GORMAHIA wakati GORMAHIA watakuwepo kagame kushiriki mashindano hayo hayo.Hivi mbona kagera sugar hawakuogopa kucheza na simba mbele ya magufuli na umati ule wa mashabiki wa samba na wakaweza kuwafunga simba.Au yanga sasa sio levo moja na simba ipo levo na JKU!
hivi mashabiki simba wanafikiri kutumia nini? Kwani simba na yanga zimekutana Mara ngapi? Kuna kipindi kama sikosei mwaka 2000 kila mechi ya simba vs yanga, simba ilkuwa ikishinda tens goli nyingi na sio kama sasa ambapo kelele nyingi zisozo endana na uhalisia. Nivizuri kufikiri kwa namna sahihi.
 
SHIRIKISHO
Yanga - Kakamega

VPL
Yanga - Kakamega

SPORTSPESA
Yanga - Kakamega

KAGAME CUP
Yanga - Wote hao mtaniua kama uyu Simba ni Babamega
 
Klabu bingwa Afrika Mashariki na kati...sasa Simba alikuwa bingwa mwaka Jana???anaingia kama nani???Azam bingwa mtetezi
 
Rahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
kama munajiamini kwanini msipeleke hiko kikosi b huko kagame?visingizio vya kitoto ni kishoga kwahiyo hao GOR MAHIA NA RAYON SPORTS hawashiriki shirikisho?mbona kagame wanacheza


YAANI HII MIYANGA YAANI HOVYO KABISA HAISTAHILI HATA KUCHEZA LIGI KUU SHUBAMITT YAANI WALISTAHILI KUWAPO WALIPOKUWEPO NJOMBE MJI
 
kama munajiamini kwanini msipeleke hiko kikosi b huko kagame?visingizio vya kitoto ni kishoga kwahiyo hao GOR MAHIA NA RAYON SPORTS hawashiriki shirikisho?mbona kagame wanacheza


YAANI HII MIYANGA YAANI HOVYO KABISA HAISTAHILI HATA KUCHEZA LIGI KUU SHUBAMITT YAANI WALISTAHILI KUWAPO WALIPOKUWEPO NJOMBE MJI
Hiyo kishoga si Yanga labda baba yako.
 
Back
Top Bottom