Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Simba ni kama mwanamke kahaba, kidume keshasema hahitaji kulala nawe, unaanza kutamba mitaani, ooh hawezi show, kanikimbia. Mbona vidume wapo wengi tu huko?Kwa hiyo ukiwa na bifu na mtendaji mmoja (tena wa kuajiriwa tu), ndio sababu ya kujitoa kwenye mashindano? Nchi ngapi zilikuwa zinatofautiana na Sepp Blatter wa FIFA? Ulishawahi kusikia zimejitoa kushiriki kombe la dunia? Hiyo sio sababu, kikubwa hapo ni kuikimbia Simba, kama ilivyofanya kule Nakuru kwenye SportPesa