Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

Yanga wanaanza kupotea sasa. kocha mwingine katikati ya ligi? Pole pole sasa Yanga inaanza kubadilishana nafasi na Simba ya mwaka 2022-2024
 

Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves.​

Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina zilizopelekea hatua hiyo.

Yanga imemshukuru Gonçalves kwa mchango wake alioutoa katika kipindi chote alichokuwepo klabuni hapo, na sasa kikosi hicho kitasimamiwa kwa muda na makocha wasaidizi, Abdihamid Moalin na Patrick Mabedi, hadi mwisho wa msimu.

Soma Pia: Yanga kumtambulisha coach Pedro Valdemour Soares, muda wowote

Hatua hiyo inakuja katika kipindi ambacho klabu hiyo inaendelea na mashindano ya ndani.

View attachment 3584874
Ndio, nyie endeleeni kushangilia goli la Chama Yanga wako busy na mara 5 mtawaliya.
 
Spinning. Watu wasijadili mafuta kupanda
Hata ukeshe ukijadili hayo mafuta kupanda! Ni nani wa kukusikiliza kwenye hii nchi ya mafisadi na wapiga dili? Unafikiri kuna mtu anaguswa hata ukiuziwa hayo mafuta kwa Tsh 5000 kwa Lita 1?
 
Ligi ya kibongo ya simba na Yanga ni ya kipumbavu sana, hapo amefukuzwa kisa kufungwa na kutoa sare na simba tuu na sio vinginevyo
Sidhani kama sababu ni kutoa sare na Simba au kutoa sare, ile mechi Yanga inafungwa goli 2:0 na Simba je kuna kocha alifukuzwa?
Kocha hiyu anaonekana kuwa na mapungufu kimbinu tokea muda mrefu tu na kama kufukuzwa alitakiwa kufukuzwa muda mrefu tu na ndiyo maana wakamletea Moalin ili kumsaidia kuweka mambo sawa.

Kocha hajui hata anataka nini anafanya sub ilimradi tu ila aelewi nini anachokifanya. Jana kamtoa Yao kisha ana muingiza Buba, na ni tabia iliyozoeleka kipindi cha pili lazima sub zake atoe maboko
 

Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves.​

Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina zilizopelekea hatua hiyo.

Yanga imemshukuru Gonçalves kwa mchango wake alioutoa katika kipindi chote alichokuwepo klabuni hapo, na sasa kikosi hicho kitasimamiwa kwa muda na makocha wasaidizi, Abdihamid Moalin na Patrick Mabedi, hadi mwisho wa msimu.

Soma Pia: Yanga kumtambulisha coach Pedro Valdemour Soares, muda wowote

Hatua hiyo inakuja katika kipindi ambacho klabu hiyo inaendelea na mashindano ya ndani.

View attachment 3584874
Yeboyebo wameamua kutema bungo. Manina zao!
 
Hata ukeshe ukijadili hayo mafuta kupanda! Ni nani wa kukusikiliza kwenye hii nchi ya mafisadi na wapiga dili? Unafikiri kuna mtu anaguswa hata ukiuziwa hayo mafuta kwa Tsh 5000 kwa Lita 1?
Nobody cares mkuu. Nchi imejaa michawa, mifisadi na mipigaji kila kona inavyonza rasilimali za taifa kama mizombi!
 
Tumechelewa sana kufukuza huyu tapeli.

Huyu ndio sababu ya Yanga kutolewa klabu bingwa msimu huu na mbinu zake za hovyo.
Wewe ungepewa kufundisha hii timu ungeifikisha wapi mkuu?
 
Yanga wanaanza kupotea sasa. kocha mwingine katikati ya ligi? Pole pole sasa Yanga inaanza kubadilishana nafasi na Simba ya mwaka 2022-2024
Mkuu, respect.
Tatizo kubwa kocha ameshindwa kabisa kukifanyia mabadiliko kikosi chake, angalau mechi nne toka Moalin aje Yanga tumeanza tofauti kidogo, timu inagemea ushindi skills za wachezaji mmoja mmoja, why? Sub za kocha hazina matarajio,anaweka benchi wachwzaji ambao wanapaswa kucheza, hata haijulikani mfumo wake ni upi?
 
Back
Top Bottom