Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

Nidhamu wanamuita wakae waangalie namna ya kuvunja huo mkataba kumbe ngoma bado mbichi

Ila huyu Feisal kwanini asiende na Crew yake Yanga kuomba kuvunja mkataba kuliko kuzunguka tu TFF!
 
Afu bado mbovu
Ina ubovu gani? Au ulitaka uone mstari wa pambizo. Hiyo barua itatumika kama reference hasipokuja hiyo tarehe tajwa,siku Yanga atakapo andika barua nyingine kwenda TFF kwamba hawamuoni mazoezini. Hapo sasa ndipo tutaenda kwenye sheria za usajili za FIFA.
 
Anafwataje sasa sehemu ambayo tuliambiwa inamuonea kwanini asiende ngazi za juu akatafute haki yake?
 
Anafwataje sasa sehemu ambayo tuliambiwa inamuonea kwanini asiende ngazi za juu akatafute haki yake?
Ili ufike Ngazi za juu lazima upitie huku ngazi za chini
 
Ili ufike Ngazi za juu lazima upitie huku ngazi za chini
Ngazi za chini tayari sasa zishatoa maamuzi ambayo inaonekana hajatidhika nayo kwanini sasa asiende huko?
 
Mi ni Yanga mzee kwa hiyo usiwe na mashaka kuhusu akili kwasababu mi sio Sunday Manara wala Kikwete
Haha umeanza pumba zako,wewe ni kolo uliyetukuka,una bahati umeacha mpira saivi,ningekuvunjaga mguu
 
Ngazi za chini tayari sasa zishatoa maamuzi ambayo inaonekana hajatidhika nayo kwanini sasa asiende huko?
Hazijatoa maamuzi kwenye barua aliyoiwasilisha leo kuhusu kuvunja mkataba
 
Yanga anatoa fundisho zuri sana hapa Tanzania. Safi sana uyo feitoto lazima afundishwe awe mfano ili lisitokee tena kwa timu nyingine
 
Hakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Ndio mlichotegemea kumbe mlivyo na akili kisoda, sasa mambo yamekwenda kinyume na target zenu nyambafff
 
We usifanye raia wa laugh loud

Chombo kililichotoa hukumu ya kuamua Feisal amekosea ni kipi?
Sasa wewe umekua nani unawapangia TFF mda wa kutoa adhabu. umejuaje kwamba hataadhibiwa?
 
Kwanini aifate tff si aende cas? Mnajitekenya na kucheka wenyewe wapuuzi nyie
 
Hii kitu mwenye akili nusu kijiko awezi kung'amua ni mtego gani uko kwenye hii statment, wale madunduka na makolowizard wengine akuna wanachoweza kung'amua hapo wanaona ni nyota nyota tu, Nawapongeza viongozi wa yanga kwa namna walivyo smart kwenye hili suala, wako vizuri sana kuna mtu atatema ndoana vinginevyo atakwenda na maji ni suala la muda tu
 
Barua Bado inaficha mambo ya msingi. Mpaka Sasa uongozi wa Yanga wanajua waliomrubuni Fei, ni vizuri mashabiki tutajiwe wahusika tuanze kuwananga na kuwazomea kwa kushindwa hujuma zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…