Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina ubovu gani? Au ulitaka uone mstari wa pambizo. Hiyo barua itatumika kama reference hasipokuja hiyo tarehe tajwa,siku Yanga atakapo andika barua nyingine kwenda TFF kwamba hawamuoni mazoezini. Hapo sasa ndipo tutaenda kwenye sheria za usajili za FIFA.Afu bado mbovu
Anafwataje sasa sehemu ambayo tuliambiwa inamuonea kwanini asiende ngazi za juu akatafute haki yake?Alikuwa sawa lakini anachokifanya saizi kimeegemea kwenye maamuzi ya TFF kwenye review iliyofanyika last Friday
Kwa maana ya kwamba yeye yupo kwenye msimamo wake ule ule wa kwamba hataki kuichezea Yanga, ila TFF kwasababu imemtambua kuwa ni mchezaji halali wa Yanga
Basi ameona aifate hiyo hiyo TFF kuachana na Yanga
Mi ni Yanga mzee kwa hiyo usiwe na mashaka kuhusu akili kwasababu mi sio Sunday Manara wala KikweteWe jamaa shuleni ulikuaga na akili,siku hizi sijui umezipeleka wapi
Ili ufike Ngazi za juu lazima upitie huku ngazi za chiniAnafwataje sasa sehemu ambayo tuliambiwa inamuonea kwanini asiende ngazi za juu akatafute haki yake?
Sasa ataadhibiwa vipi wakati hajarudi kambini?Hakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Ngazi za chini tayari sasa zishatoa maamuzi ambayo inaonekana hajatidhika nayo kwanini sasa asiende huko?Ili ufike Ngazi za juu lazima upitie huku ngazi za chini
Haha umeanza pumba zako,wewe ni kolo uliyetukuka,una bahati umeacha mpira saivi,ningekuvunjaga mguuMi ni Yanga mzee kwa hiyo usiwe na mashaka kuhusu akili kwasababu mi sio Sunday Manara wala Kikwete
Haraka sana Faisal afike eneo lake la kazi na kama ana issues atazisema akiwa hapo kazini.Masharti ya mkataba wa Yanga na Feisal ni kama masharti ya Nape aliyotoa kwa kampuni la Starlink ya Elon Musk
We usifanye raia wa laugh loudSasa ataadhibiwa vipi wakati hajarudi kambini?
Hazijatoa maamuzi kwenye barua aliyoiwasilisha leo kuhusu kuvunja mkatabaNgazi za chini tayari sasa zishatoa maamuzi ambayo inaonekana hajatidhika nayo kwanini sasa asiende huko?
Ubovu wake uko wapi?Afu bado mbovu
Ndio mlichotegemea kumbe mlivyo na akili kisoda, sasa mambo yamekwenda kinyume na target zenu nyambafffHakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Sasa wewe umekua nani unawapangia TFF mda wa kutoa adhabu. umejuaje kwamba hataadhibiwa?We usifanye raia wa laugh loud
Chombo kililichotoa hukumu ya kuamua Feisal amekosea ni kipi?
Kwanini aifate tff si aende cas? Mnajitekenya na kucheka wenyewe wapuuzi nyieAlikuwa sawa lakini anachokifanya saizi kimeegemea kwenye maamuzi ya TFF kwenye review iliyofanyika last Friday
Kwa maana ya kwamba yeye yupo kwenye msimamo wake ule ule wa kwamba hataki kuichezea Yanga, ila TFF kwasababu imemtambua kuwa ni mchezaji halali wa Yanga
Basi ameona aifate hiyo hiyo TFF kuachana na Yanga
Hii kitu mwenye akili nusu kijiko awezi kung'amua ni mtego gani uko kwenye hii statment, wale madunduka na makolowizard wengine akuna wanachoweza kung'amua hapo wanaona ni nyota nyota tu, Nawapongeza viongozi wa yanga kwa namna walivyo smart kwenye hili suala, wako vizuri sana kuna mtu atatema ndoana vinginevyo atakwenda na maji ni suala la muda tuKlabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaii halali wa Yanga mpaka tarehe 30, Mei 2024, kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezai wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, kama wataridhia.
Mwisho, Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kwamba iko tavari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya mkataba na utaratibu wa sheria za uhamisho wa wachezait zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yoyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote.
View attachment 2539612