Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
TFF wametumia kesi ya Feisal ku restore mahusiano yao na YangaNdio mlichotegemea kumbe mlivyo na akili kisoda, sasa mambo yamekwenda kinyume na target zenu nyambafff
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF wametumia kesi ya Feisal ku restore mahusiano yao na YangaNdio mlichotegemea kumbe mlivyo na akili kisoda, sasa mambo yamekwenda kinyume na target zenu nyambafff
Kwasababu adhabu ni pamoja na mkataba kuvunjika na sio kurudishwa tena kwenye ClubSasa wewe umekua nani unawapangia TFF mda wa kutoa adhabu. umejuaje kwamba hataadhibiwa?
Huwezi kufika 3 kama 2 na 1 hujazipitaKwanini aifate tff si aende cas? Mnajitekenya na kucheka wenyewe wapuuzi nyie
Poor, kwanini asiende juu zaidi kama ana uhakika yupo sahihi Kwa alichokifanya??Alikuwa sawa lakini anachokifanya saizi kimeegemea kwenye maamuzi ya TFF kwenye review iliyofanyika last Friday
Kwa maana ya kwamba yeye yupo kwenye msimamo wake ule ule wa kwamba hataki kuichezea Yanga, ila TFF kwasababu imemtambua kuwa ni mchezaji halali wa Yanga
Basi ameona aifate hiyo hiyo TFF kuachana na Yanga
Anaweza kua free agent, sio lazima timu imtake mkataba kuvunjika.Wapo tayari kuboresha maslahi yake. Mpira umerudi kwa Fei, kama ishu ni maslahi anaboreshewa pamoja na yote yaliyotokea.
Fei anachotaka mpaka sasa ni mkataba uvunjike na hakuna timu iliyosema inamtaka.
Gharama ni kubwa,vile vile inachukua muda pia kwa hiyo kabla ya kwenda lazima haakikishe option zote za chini amemaliza.Poor, kwanini asiende juu zaidi kama ana uhakika yupo sahihi Kwa alichokifanya??
Kwa hiyo akirudishwa kambini hawezi kuadhibiwa?Hakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Kambini ndio mahakama?Kwa hiyo akirudishwa kambini hawezi kuadhibiwa?
Halafu kuna watu bado watasema Yanga inamng'ang'ania huyo mchezaji! Tamko limejitosheleza kabisa.Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaii halali wa Yanga mpaka tarehe 30, Mei 2024, kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezai wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, kama wataridhia.
Mwisho, Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kwamba iko tavari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya mkataba na utaratibu wa sheria za uhamisho wa wachezait zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yoyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote.
View attachment 2539612
Wamechelewa kufanya haya maamuzi, hawatafanikiwa kumuuza fei, fei atavunja mkataba wataishia kupata fidia ambayo ni kidogo kuliko matarajio yao.Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaii halali wa Yanga mpaka tarehe 30, Mei 2024, kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezai wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, kama wataridhia.
Mwisho, Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kwamba iko tavari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya mkataba na utaratibu wa sheria za uhamisho wa wachezait zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yoyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote.
View attachment 2539612
Hataki kuboresha hayo maslahiMsingi wa barua upo hapa wasijifanye kuvimba wanamuhitaji sana huyu dogo mengine ni umbea tu.
"Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezai wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, kama wataridhia"[emoji1787]
Kwahiyo ulitaka achukuliwe hatua katika lipi sasaHazijatoa maamuzi kwenye barua aliyoiwasilisha leo kuhusu kuvunja mkataba
KweliAnaweza kua free agent, sio lazima timu imtake mkataba kuvunjika.
Nimesema "Hazijatoa maamuzi kwenye barua aliyoiwasilisha leo kuhusu kuvunja mkataba"Kwahiyo ulitaka achukuliwe hatua katika lipi sasa
Mimi nakwambiaga sana una kichwa kigumu. Scars Amesema tena na tena kuwa suala lililokuwa TFF na maamuzi yaliyofanyiwa review jana yalikuwa ni kumtambua Feisal kama mchezaji wa Yanga. TFF wameepuka kutoa maelezo in public kwa nini wameamua hivyo kwa sababu ni wazi ingegusia uamuzi wa Feisal kurudisha zile pesa.Ngazi za chini tayari sasa zishatoa maamuzi ambayo inaonekana hajatidhika nayo kwanini sasa asiende huko?
Baada ya hapo anakuja kuuliza tena "Kwahiyo ulitaka achukuliwe hatua katika lipi sasa"Mimi nakwambiaga sana una kichwa kigumu. Scars Amesema tena na tena kuwa suala lililokuwa TFF na maamuzi yaliyofanyiwa review jana yalikuwa ni kumtambua Feisal kama mchezaji wa Yanga. TFF wameepuka kutoa maelezo in public kwa nini wameamua hivyo kwa sababu ni wazi ingegusia uamuzi wa Feisal kurudisha zile pesa.
Sasa Feisal anaona ok, yoyote yaliyopita fresh tu kama nilikosea poa ila sasa anawarudia TFF kuwaambia anavunja mkataba. Tunarudi kulekule kwamba sasa Yanga na Feisal watakaa chini huku TFF akiwa msuluhishi ili kuvunja mkataba huo kwa jinsi mkataba unavyosema inatakiwa kufanyika. Hapa Feisal ni dhahiri harudi nyuma, piga ua.
Hawaruhusiwi kumvumilia?Hakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini