zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Fei hana team inayotaka, yeye anataka kuwa free agent afanye mambo yake mengine. Ndo maan anataka kuvunja mkatabaa.
Free agent ndio Nini we kolo?does it applies here?Kwahyo kumbe Fei Yuko sahihi kuvunja mkataba, ila Yanga hawataki atoke km free agent, ila wanataka kumuuza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnajivua nguo wazi wazi lol