Una negativity.na Yanga hadi unatia huruma. Kwa sasa hata Yanga wakitangaza kuwa 'ukimwi ni hatari'.....utabishaHalafu bado mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una negativity.na Yanga hadi unatia huruma. Kwa sasa hata Yanga wakitangaza kuwa 'ukimwi ni hatari'.....utabishaHalafu bado mbovu
Kwa akili yako wewe unaweza kumshauri Feisal afungue shauri la kudai adhabuHakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji.
Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Yanga inaogopa kuwaadhibu mastar wake. Ngoja nikamchomoe Aziz Ki akanilimie viazi.Ili arudi kambini ni lazima club imuadhibu kwanza kwa kumsumbua muajiri
Sio kwa akili yangu bali kwa mujibu wa sheria iliyowekwa inazitaka mamlaka zilizohukumu kesi yake apewe adhabuKwa akili yako wewe unaweza kumshauri Feisal afungue shauri la kudai adhabu
Akisha adhibiwa, nini kifatie? Aruhusiwe aondoke au?Hakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji.
Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Huyu nae haelewi Ila zamani nilikuwa nikiingia kusoma nyuzi humu nilikuwa napata madini Sana Ila siku hizi vilaza wengi wa FB wamehamia humu Jf imepoteza ubora wake kabisa???Kama alikua sahihi katika kuvunja mkataba kwa vipengele alivotumia angeenda CAS sasa maana so TFF waliamua bado ni mchezaji wa Yanga
Angalia huyu boya ulaya IPI unayoizungumzia??? Kwa umri Wake mazembe tu walimhitaji mkamgomea ety 1b hivi hapa Tanzania Kuna mchezaji wa billion Moja???Eti anasema sipendi kuichezea Yanga kama vile kucheza ni swala la Mapenzi wakati ni swala la Mkataba. Hutaki kuendelea na timu, basi maliza mktaba halafu ukatae kuongezea, siyo tu kulala na kuamka kuwa hutaki kucheza. Mtot alikuwa na nafasi kubwa sana ya kumfuata Samatta ulaya lakini nadhani amejiharibia sana kwani timu za nje zitaanza kumwogopa kama siyo mtu anyeheshimu mikataba; yuko kama Putin. Hajui kama scouts wa timu za nje wanafuatilia mambo haya kwa karibu pia. Ni mambo ambayo alitakiwa ayamalize chini ya kapeti lakini yeye anapiga kelel kila sehemu.
Kuna faini ya kulipishwa hela na kuna adhabu ya kufungiwaAkisha adhibiwa, nini kifatie? Aruhusiwe aondoke au?
Umetoa wapi hayo maneno?Kuna faini ya kulipishwa hela na kuna adhabu ya kufungiwa
Hivyo vyote vikitekelezwa, mchezaji hawezi kuhudumu kwenye hiyo Club tena?
For the avoidance of doubt the Committee was not entitled to order specific perfor Contract. Page 139 of the Commentary states as follows:Umetoa wapi hayo maneno?
Kwamba mchezaji akizingua na kuadhibiwa na timu, basi ahudumu tena kwenye hiyo timu?
Safi mkuu. Hii article inazungumzia termination ya mkataba, na automatically mkataba ukivunjwa hustaili kuendelea kuwepo klabuni.For the avoidance of doubt the Committee was not entitled to order specific perfor Contract. Page 139 of the Commentary states as follows:
iii) Player has no obligation or automatic right to remain employed by the club
When considering the consequences of terminating a contract, a player cannot remain employed by the club with which the contractual relationship has been term any circumstances (whether the termination was with just cause or without just co the club be obliged to (re)employ the player. If one party decides unilaterally to contract prematurely, the contractual relationship between the parties ends. In t dispute, the party in breach will be liable to pay compensation and sporting sand imposed on it, but no request for reinstatement of employment can be made, or co principle has been confirmed by CAS."
kabisa..sema tu ni umbumbu waoHalafu kuna watu bado watasema Yanga inamng'ang'ania huyo mchezaji! Tamko limejitosheleza kabisa.
Tamko lina kipengele cha kumuhitaji iwapo ataridhia. Hujakiona? Au kuna tamko lingine?Halafu kuna watu bado watasema Yanga inamng'ang'ania huyo mchezaji! Tamko limejitosheleza kabisa.
Ndio ni kweli kuwa kuna adhabu baada ya kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu na hizo adhabu ni kifungo pamoja na faini na baada ya hapo mchezaji hatohesabika kuwa ni mchezaji wa hiyo timuSafi mkuu. Hii article inazungumzia termination ya mkataba, na automatically mkataba ukivunjwa hustaili kuendelea kuwepo klabuni.
Ila kwenye hoja zetu za mwanzo ulikuwa inazungumzia adhabu, na sio kuvunja mkataba. Adhabu zipo za aina nyingi, ikiwemo kulipishwa hela, au kutolewa nje ya kikosi kwa muda fulani
Mngetoa somo kwa morisson kwanza,kinyesi fc kichwani sidhani kama mna ubongoYanga anatoa fundisho zuri sana hapa Tanzania. Safi sana uyo feitoto lazima afundishwe awe mfano ili lisitokee tena kwa timu nyingine
Hawataki kuonekana wameshindwa,viongozi wa yanga wanapenda battle wakati wanajua hawana uwezo.Si yupo Aziz Ki? Yanga waachane nae tu huyo dogo. Maana hata akirudi hatakuwa na moyo wa kuitumikia klabu
Ni kichaa tu angeweza kutoa mil 400 kwa mchezaji aliyebakiza mwezi mmoja mkataba uishe,viongozi wenye akili huwa hawakurupuki tu coz usajili wenyewe ni kamari.Suala hapa ni kwanini mumlazimishe kila siku akati jamaa na mama yake HAWATAKI KUSKIA KUHUSU UTOPOLOSimba walishindwa kumsajili manzoki aliebakiza mwezi kama mmoja tu. Sijui wanapata wapi nguvu yakukomalia hii ishu