Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majuto ni mjukuu. Ni kweli wanataka pesa ila wamechelewa kuweka mazingira ya kupata pesa hiyo wanayoitamani.Na hapa ndipo tatizo lilipo. Wanachokitaka baadhi ya mashabiki ni kukomoa. Nadhani viongozi wanataka pesa.
Hafu kweli unajua ila kwa sheria zipi za usajili umsajili sasa hivi?Na yanga hawamtaki tena sijui sisi simba tumchukue liwe kombe letu mwaka huu
Kavunje mkataba wa Manzoki kwanza tuone mfanoHakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Simba walishindwa kumsajili manzoki aliebakiza mwezi kama mmoja tu. Sijui wanapata wapi nguvu yakukomalia hii ishuKavunje mkataba wa Manzoki kwanza tuone mfano
Feisal ana mikataba mingapi? huo uanaosema ameuvunja ni upi? na aliopeleka barua TFF kuomba uvujwe ni upi?Kwasababu adhabu ni pamoja na mkataba kuvunjika na sio kurudishwa tena kwenye Club
Yani mchezaji aliyevunja mkataba bila kufuata utaratibu atahesabiwa kuwa mkataba umevunjwa ila amekiuka sheria
Hivyo adhabu ni kulipishwa faini pamoja na kufungiwa
Sasa Feisal ndio kwanza tunaona na barua ya wito kutoka kwa Club ikimtaka Feisal arejee kambini
Sheria hiyo haipo
We're Kila mjadala wa yanga na fei unashabikiaaAwapi
Hizo taka taka ulizo taja hapo kuna hata mmoja mwenye medali ya CAF?Nyie bado saaana. Mnasumbuliwa na mchezaji mmoja tena mla urojo! Wanasheria wenu kila siku wako Karume jasho linawatiririka kisa mchezaji mliyeletewa kwenye mfuko wa zawadi.
Je mngekuwa na wachezaji wakubwa kama Chama, Inonga, Kapombe au Phiri, mngeweza kweli kuwasimamia nyie?
Feisal yeye binafsi ndio anataka kuvunja mkataba na Yanga SCKlabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaii halali wa Yanga mpaka tarehe 30, Mei 2024, kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezai wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, kama wataridhia.
Mwisho, Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kwamba iko tavari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya mkataba na utaratibu wa sheria za uhamisho wa wachezait zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yoyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote.
View attachment 2539612
very strategic sasa asiporejea ndipo atakumbana na adhabu ya yangaKlabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaii halali wa Yanga mpaka tarehe 30, Mei 2024, kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezai wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, kama wataridhia.
Mwisho, Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kwamba iko tavari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya mkataba na utaratibu wa sheria za uhamisho wa wachezait zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yoyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote.
View attachment 2539612
Wachezaji wanatakiwa waangalie Sana wanapoingia mikataba na hiyo timu. Wachezaji kama binadamu wanaweza kufikwa na lolote la kulazimika kuachana na yanga. Wakati wa kusaini mikataba wachezaji wanatakiwa kuchunga Sana vipengele vya kuvunja mikataba.Timu ambayo mchezaji anaweza kuvunja mkataba wake bila shuruti ni Simba na Azam tu.
Simba walimwacha lete Mzungu Dejani alipotaka tu mwenyewe kuvunja mkataba.
Azam walimwacha Sure Boy alipotaka mwenyewe kuvunja mkataba.
Yanga hawajawahi na hawatawahi kumkubalia mchezaji anayetaka mwenyewe kuvunja mkataba.
Yanga ni king'ang'anizi kweli na hawakubali kushindwa.
Fei arudi tu Yanga na kama haitaki ategee mazoezi na mechi hadi wenyewe wamfukuze au hadi mkataba wake uishe.
Yanga ni kinga'ng'anizi haijawahi kutokea.
Yanga walivyopeleka shauri TFF kulalamika Feisal amevunja mkataba walikuwa wanakusudia mkataba upi?Feisal ana mikataba mingapi? huo uanaosema ameuvunja ni upi? na aliopeleka barua TFF kuomba uvujwe ni upi?
Sio kweliMajuto ni mjukuu. Ni kweli wanataka pesa ila wamechelewa kuweka mazingira ya kupata pesa hiyo wanayoitamani.
Morrison hakuwahi kusaini kabisa Yanga.Wachezaji wanatakiwa waangalie Sana wanapoingia mikataba na hiyo timu. Wachezaji kama binadamu wanaweza kufikwa na lolote la kulazimika kuachana na yanga. Wakati wa kusaini mikataba wachezaji wanatakiwa kuchunga Sana vipengele vya kuvunja mikataba.
Leo kwa Feisal, kesho kwa mwingine.
Nikikumbuka like varangati la Morrison, kipande cha karatasi kilichobeba sahihi hakijaonekana hadi leo.
Kwa staili hii Kuna mchezaji yanga atafungiwa na fifa kucheza mpira. Ni timu ngumu sana kwa wachezaji. Inaweza kuwasababishia matatizo makubwa baadae. Timu haina fair hata kidogo. Timu zingine haziko hivi.
Una bwabwaja tuMorrison hakuwahi kusaini kabisa Yanga.
Mkataba wake wa kwanza walifoji saini yake.
Yaani Morrison alikuja Yanga wakati dilisha la usajiri lishafungwa.
Mkataba wa pili walifoji tena saini yake katika hicho kipande cha karatasi kilicho potezwa kwa makusudi.
Mkataba pekee alio toa saini yake ni hui wa sasa.
Yanga wana figisu sana wakisaidiwa na mstaafu.
Jiulize alishindaje kesi CAS na TFF na kusajiriwa Simba.Una bwabwaja tu
Eti anasema sipendi kuichezea Yanga kama vile kucheza ni swala la Mapenzi wakati ni swala la Mkataba. Hutaki kuendelea na timu, basi maliza mktaba halafu ukatae kuongezea, siyo tu kulala na kuamka kuwa hutaki kucheza. Mtot alikuwa na nafasi kubwa sana ya kumfuata Samatta ulaya lakini nadhani amejiharibia sana kwani timu za nje zitaanza kumwogopa kama siyo mtu anyeheshimu mikataba; yuko kama Putin. Hajui kama scouts wa timu za nje wanafuatilia mambo haya kwa karibu pia. Ni mambo ambayo alitakiwa ayamalize chini ya kapeti lakini yeye anapiga kelel kila sehemu.Fei kachemka Sana
Mbona hawajasonga kwenda CAS? Ili wakayaanike yale makandokando uliyosema yanayofichwa na TFF na kumpendelea YangaMasharti ya mkataba wa Yanga na Feisal ni kama masharti ya Nape aliyotoa kwa kampuni la Starlink ya Elon Musk