Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

Hakuna cha usawa hapo kuna ubabaishaji, Feisal kama alikosea alipaswa kuadhibiwa na sio kurudishwa kambini
Kitu umeshindwa kutambua pale Yanga kuna watu wenye elimu kubwa ( Hakuna Mbumbumbu) wanaijua mchezo ya mjini, wana jua mipango yote ilioko nyuma ya pazia, njia walioifikiria wangenufaika nayo hao wahuni wameshitukiwa.

Kwa akili zao walifikiri Yanga watakurupuka na kumuadhibu Fei ili wapitie njia hiyo, kinachowauma ni kuona Yanga wamewashitukia na huo mpango wao ovu.
 
Nidhamu wanamuita wakae waangalie namna ya kuvunja huo mkataba kumbe ngoma bado mbichi

Ila huyu Feisal kwanini asiende na Crew yake Yanga kuomba kuvunja mkataba kuliko kuzunguka tu TFF!
Shida wahuni walitaka wampate kwa bei chee ndiyo maana walipita mlango wa nyuma kumbe wamekuta Yanga wapo smart sana, walijua Yanga wangekurupuka kwa kumuadhibu Fei ili wapitie njia hiyo, sasa matarajio yao yamekwenda Rijojo.

Njia pekee iliyobaki kwao ni kukaa mezani na Yanga, njia waliyoikataa awali, mezani ndiyo njia pekee itakayo wafikisha kwenye neema, lakini swali linalowaumiza kichwa je wahuni watakuwa tayari kutoa offer ambayo Yanga wanaitaka?

Wahuni sio watu wazuri.
 
Utopolo ni madomo zege demu hakutaki unazidi kumungangania
 
Ili arudi kambini ni lazima club imuadhibu kwanza kwa kumsumbua muajiri
 
Morrison hakuwahi kusaini kabisa Yanga.
Mkataba wake wa kwanza walifoji saini yake.
Yaani Morrison alikuja Yanga wakati dilisha la usajiri lishafungwa.

Mkataba wa pili walifoji tena saini yake katika hicho kipande cha karatasi kilicho potezwa kwa makusudi.
Mkataba pekee alio tia saini yake ni huu wa sasa.
Yanga wana figisu sana wakisaidiwa na mstaafu.
Mama Morrison
 
Maswali yangu yametoka kwenye maelezo yako ulisema kavunja mkataba huu ano omba ni upi?
Kama maswali yako yametoka kwenye maelezo yangu, unapaswa utambue kuwa maelezo yangu yametoka kwenye shauri lililowasilishwa na Yanga kwenda TFF
 
Makolo mnaosema kwamba yanga wanamng'ang'ania feisal haya sasa someni paragraph ya mwisho! Fuateni taratibu zilizowekwa kama mnamtaka mchezaji ,yanga wapo tayari kwa mazungumzo,msimdanganye huyo Feisal ,akae mezani na yanga aache ugaigai na mbambamba.
 
Fei anachotaka mpaka sasa ni mkataba uvunjike na hakuna timu iliyosema inamtaka.
Nyuma ya pazia kuna kitu. Kuna timu inaogopa kujitokeza moja kwa moja kwa kuwa ikibainika ndio waliongea na Fei wakati bado ana mkataba na Yanga (zingatia suala la miezi 6) basi rungu la sheria likitua kwa hiyo timu watajuta. Na hakuna aliye tayari kufanya hivyo.
Ila kwa sasa kama kuna timu ijitikeze maana Yanga wamesema kama kuna timu ije mezani ufuate utaratibu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Shida wahuni walitaka wampate kwa bei chee ndiyo maana walipita mlango wa nyuma kumbe wamekuta Yanga wapo smart sana, walijua Yanga wangekurupuka kwa kumuadhibu Fei ili wapitie njia hiyo, sasa matarajio yao yamekwenda Rijojo.

Njia pekee iliyobaki kwao ni kukaa mezani na Yanga, njia waliikataa awali, mezani ndiyo njia pekee itakayo wafikisha kwenye neema, lakini swali linalowafunika kichwa je watakuwa tayari kutoa offer ambayo Yanga wanaitaka?

Wahuni sio watu wazuri.
Makolo walivamia mtumbwi wa vibwengo WAMEYAKANYAGA ,wamemuingiza mkenge feisal kwa vipande 112 vya fedha.
 
Back
Top Bottom