Labda kama wanataka siasa, maana nje ya siasa haya madai ni kinyume cha sheria jambo sahihi ni kuchukua ushahidi na kuupeleka mahakamani kumshtaki.Mifumo na aliyeipindisha ambaye ni Karia
Masuala ya mpira hayapelekwi mahakama za kiraiaLabda kama wanataka siasa, maana nje ya siasa haya madai ni kinyume cha sheria jambo sahihi ni kuchukua ushahidi na kuupeleka mahakamani kumshtaki.
Jinai sehemu yake ni mahakamani. Au Karia hajafanya jinai?Masuala ya mpira hayapelekwi mahakama za kiraia
Yanga wao wametimiza takwa la mchakato wa uchaguzi ikiwa Moja wapo ni kumwekea pingamizi ( kama lipo) Kwa wagombea waliotangazwa
Hapo kamati ya uchaguzi ndo itatupa jibu kama ndiyo na ni kwanini?
Kila kiongozi kuanzia FAT hadi sasa TFF kila mtu alikua na viroja vyake.Kwahiyo hiyo kanuni ilijileta au Karia alihusika kuileta? Mbona kina Tenga hawakuileta na wakafanya kazi zao na wakaondoka?
Kilichowafelisha CAS ni nakala za hukumu za kamati za kiwaki za TFF, ambazo TFF walikula nyoya kuwasikiliza wala kujibu barua ya malalamiko ya YangaNa CAS je?
Mbona na huko huwa wanafeli tu?
Kama babaakoMashoga ni waliotepeta wanaotiwa kila siku. Yani wanaweza kutiwa mara 5 mfululizo.
Na hilo la Endorsement nalo vipi?Sera ya michezo? Katiba na kanuni zao tff je? Maana hiyo sera serikali hawawezi ingilia kuipeleka tff wataonekana wanaingilia maswala ya kimichezo
Hapa Yanga wanajipaka matope tu
Au wa zamani wa TFF MalinziKaria amefanya mazuri kipindi chake ila ifikie mahali apumzike kwa heshima atakumbukwa akiendelea kung'ang'ania atatoka kwa aibu kama Raisi wa zamani wa CAF issa hayatou au Raisi wa zamani wa FIFA Sepp Blater
Kwamba miradi ya TFF Tanga na Kigamboni huifahamu!? Usiwe unakurupuka kabla ya kutafiti kwanza.Hivi Tenga alipokuwa TFF naye alikuwa na kashfa kama za huyu bwana? Mbona ni kama vile Tenga alikaa pale TFF na mwisho wa siku akaondoka kiroho safi.
Halafu kipindi cha Tenga walianzisha hadi TSA (Tanzania Soccer Academy) kupitia pesa za FIFA.
Kwa sasa pesa kwenye mpira zimekuwa ni nyingi sana kwa sababu ya ufadhili lakini sioni TFF wakianzisha mradi wowote zaidi kuna tetesi waamuzi hawalipwi, na juzi kati Mtibwa eti Mtibwa hakupewa zawadi ya Chamoionship.
Kipindi hiki cha Karia mpira una pesa sana lakini mambo hayaeleweki katika miradi mbalimbali ya TFF na matumizi ya pesa. Tunatarajia timu zipate sapoti kubwa kutoka TFF.