JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Jamaa mbona kasema hapo juu kuwa ni kanuni ya kihuni. Kaandika (ofkoz ni kanuni ya kihuni) .Sasa huko nyuma mjumbe mmoja anaweza kuwaunga mkono wagombea zaidi ya mmoja, lakini kwa sasa mgombea mmoja anaruhusiwa kuunga mkono mgombea mmoja tu! Shida ndiyo ipo hapo jamaa anasema Karia kuaungwa mkono na wajumbe karibu wote wamebaki sijui watatu maana yake wagombea wengine wamekosa endorsement, kwa sababu unatakiwa kupata endorsement zaido ya tano! Hili unalisemeaje?