Zipelekeeni hizo timu pesa.Huyu karia acha yanga wamwendeshe watakavyo yote kayataka yeye,mke wake kapewa ajira na gsm ule ulikua mtego mkubwa sana ,karuhusu gsm adhamini timu nane .
Hapo hana ujanja na watadili nae sana .
Safar hii akichomoka na kuupata huu urais nadhan atajifunza kuwakazia yanga vilivyo na kuondoa janja janja za hao jamaa
Timu haziwezi kukataa pesa kwasababu Simba watakasirika.
Mwambieni na Mo apeleke pesa.
Kuendesha timu ni gharama.
Kuna timu hata kulipia hoteli ni changamoto.