Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani


We Pimbi la Utopoloni vipi Scania Irizi Lenu mumeamua kutufanyia Ujanja kwa kuliandika TATA?
KUNEED HUNTER anawasalimia ameamua kuchukua Scania lake.
 
π‡πšπ­πš 𝐲𝐚 𝐀𝐰𝐞𝐧𝐝𝐞𝐚 𝐜𝐑𝐨𝐨𝐧𝐒?
Wanazo za kwendea chooni na kuvukia barabara tu si zaidi ya hapo.
 
Kwahiyo wakuu sio Scania Irizi tena la Real Madrid ni TATA za kina mwamedii? Hivi GSM wanatuonajee sisi wananchiii
 
Ficha upumbavu wako,mtu ametoa picha kwenye mtandao anawachezesha akili kuwa basi limeshafika nanyi mnaingia kichwa kichwa, ndiyo maana mnadanganywa kuandamana kwenda kupokea wachezaji wa kuokoteza. Basi lenu hili sema sasaView attachment 1852621
Basi la timu siti zote za nini hizo? bora lingekuwa 2*1 ili siti ziwe pana, halafu hawa yanga waliwacheka simba kumiliki TATA mbona hilo nalo ni TATA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…