Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

Ili mkimbie vizuri team ikichelewa kufika uwanjani
 
Mwamedi ni mchumi kweri kweri, kawapa wahindi wenzao dili la tata bus
Hawa jamaa walistahili kabisa kuitwa mbumbumbu! Yaani wananunuliwa TATA, eti wanafurahia! Yaani gari la safari za vijijini!!

Mpaka leo wanaishi kwa kumlamba miguu Mwamedi ambaye amegoma katu katu kutoa zile bilioni 20 alizo waahidi!
 
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani

Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru

Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo

Kwa hakika 'Sisi tuna watu'

View attachment 1849703
Ilo basi la juu ni la kampuni ya kureed hunters wanaofanya safari zao dar mwanza......pumbavu wewe
 
Ilo basi la juu ni la kampuni ya kureed hunters wanaofanya safari zao dar mwanza......pumbavu wewe
Mbona kama una hasira? Kwani lile TATA mlilazimishwa? Bora hata mngebakia tu na lile youtong kuu kuu la Bia yetu ya Kilimanjaro! TATA!!;!! 🤭
 
Hii timu inazungumzwa kila kona hadi kero wakati sio hata mabingwa.
Team kuzungumuzwa kila kona ni moja wapo ya njia za kibiashara na kuteka uchumi wa soka.Team maarufu duniani ndizo hata kwenye usajili zinakimbiliwa na wachezaji,wawekezaji n.k
 
Ilo basi la juu ni la kampuni ya kureed hunters wanaofanya safari zao dar mwanza......pumbavu wewe
Mkia ile timu yenu mnayosema ni kubwa ndo yakununua TATA kweli? mohammed anawaonaje nyie mbumbumbu?
 
Mkia ile timu yenu mnayosema ni kubwa ndo yakununua TATA kweli? mohammed anawaonaje nyie mbumbumbu?
Ficha upumbavu wako,mtu ametoa picha kwenye mtandao anawachezesha akili kuwa basi limeshafika nanyi mnaingia kichwa kichwa, ndiyo maana mnadanganywa kuandamana kwenda kupokea wachezaji wa kuokoteza. Basi lenu hili sema sasa
 
"msimu huu kama yanga itakosa ubingwa basi tuulizeni sisi GSM"

Wameshasahau kuhusu ubingwa yapo hapa yanabishana kuhusu basi ambalo imetolewa tu picha mtandaoni na kudanganywa kuwa ni la yanga .. hivi viongozi wenu wanawachukuliaje nyinyi utopolo FC ..

TUNAENDESHA BASI MOJA NA TIMU YA REAL MADRID HUKU WENZENU KILA MSIMU WANANYANYUA MAKWAPA TU [emoji23][emoji23]

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani

Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru

Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo

Kwa hakika 'Sisi tuna watu'

View attachment 1849703
Basi tufanye kanunua ndege kabisa
 
Basi lenu jipya wamepiga na bawaba!
Yanga mtachotwa akili hadi lini?
IMG-20210713-WA0058.jpeg
 
Hawa jamaa walistahili kabisa kuitwa mbumbumbu! Yaani wananunuliwa TATA, eti wanafurahia! Yaani gari la safari za vijijini!!

Mpaka leo wanaishi kwa kumlamba miguu Mwamedi ambaye amegoma katu katu kutoa zile bilioni 20 alizo waahidi!
Hii ndo maana ya Utopolo, kushangilia kitu kabla ya kukiona, kuanzia wachezaji mpaka vyombo vya usafiri.

Naona Scania Irizar imejigeuza kuwa TATA
 
Back
Top Bottom