King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Sisi tulio nunuliwa TATA EICHER na Muddy mpigaji sura zetu tutaziweka wapi jamani
Kweli Minyani haina Akili yani yanadanganywa na yanakubali kichwakichwa! Basi la Kampuni ya HUNTER LUXURY yameambiwa ni la Yanga basi yameanza Mipasho! Haya subirini mpaka likiandikwa KUNEED HUNTER pia museme ni jina jengine la Yanga.