Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani

Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru

Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo

Kwa hakika 'Sisi tuna watu'

View attachment 1849703
Wenzenu wana rekodi ya "mataji" ya kimataifa. MTAJILINGANISHAJE?????
 
"msimu huu kama yanga itakosa ubingwa basi tuulizeni sisi GSM"

Yalivyo mapunga, yameshasahau kuhusu ubingwa yapo hapa yanabishana kuhusu basi ambalo imetolewa tu picha mtandaoni na kudanganywa kuwa ni la yanga .. hivi viongozi wenu wanawachukuliaje nyinyi utopolo FC ..

TUNAENDESHA BASI MOJA NA TIMU YA REAL MADRID HUKU WENZENU KILA MSIMU WANANYANYUA MAKWAPA TU [emoji23][emoji23]

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app

Ni wa kuwaonea tu huruma,sasa mtu kama huyu aliyeanzisha huu Uzi sijui anajionaje kwa sasa[emoji3][emoji3]
 
Ni TATA basi linalotengenezwa na wakina Mudy wa India.Yanga buana wanadanganywa sana.
download.jpg
 
"msimu huu kama yanga itakosa ubingwa basi tuulizeni sisi GSM"

Yalivyo mapunga, yameshasahau kuhusu ubingwa yapo hapa yanabishana kuhusu basi ambalo imetolewa tu picha mtandaoni na kudanganywa kuwa ni la yanga .. hivi viongozi wenu wanawachukuliaje nyinyi utopolo FC ..

TUNAENDESHA BASI MOJA NA TIMU YA REAL MADRID HUKU WENZENU KILA MSIMU WANANYANYUA MAKWAPA TU [emoji23][emoji23]

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Wanawachukulia kama utopolo, na kweli uto ni utopolo sana [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Msingi wa dabi ya yanga na simba ni kushindana kisoka. sasa huko kwenye mabasi kunatoka wapi
 
Jina tu TATA Linakera. Basi hata milioni 100 halifiki. Tata ni saizi ya timu kama ihefu au transit camp
Eicher yenyewe tu ni 135

Hilo basi ni bei kubwa, kaangalie TATA ni nani duniani
 
Eicher yenyewe tu ni 135

Hilo basi ni bei kubwa, kaangalie TATA ni nani duniani
Mara ya mwisho zile daladala za tata zilikua zinauzwa 100.........wakati zinaingia ilikua 70 tu
 
𝐬𝐭𝐨𝐫𝐲 𝐳𝐚 𝐮𝐛𝐢𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐭𝐞𝐧𝐚
 
Back
Top Bottom