Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabasi ya TATA ni ya kifahari?Simba wana basi lao jipya na kifahari! Aina ya TATA!! 🙄
Ha ha ha haHii timu inazungumzwa kila kona hadi kero wakati sio hata mabingwa.
Tuna watu sie....angalia tusikurunde ndani.....ebu futa hilo jina mkia ww.wapi limeandikwa yanga?
uto hamna uwezo huo
Sie tuna watu we, Embu futa kabla hatujakurunda ndani.....Safari ya tarehe 25View attachment 1849771
Aibu naona Mimi [emoji116]Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo
Kwa hakika 'Sisi tuna watu'...
View attachment 1849703
Habari za mitandaoni sio za kuziamini sana, uzushi ni mwingi. Hilo bus limepost na kampuni ya usafirishaji ya Hunters inayofanya safari zake Dar-MwanzaView attachment 1849740
hii chaiBaada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo
Kwa hakika 'Sisi tuna watu'...
View attachment 1849703
Kwakweli ni maajabu asee.wengine washerehekea ubingwa alafu wengine wanasherehekea nini mkuu,,?Vipumbele vinatofautiana. Wakati engine wanasheherekea bus wengine wanasheherekea ubingwa.
Lipo mto msimbazi linakuja na mafuriko kuelekea salenda bridgeLipo wapi hilo bus
Nyie wapuuzi mnauziwa mbuzi kwenye kiroba. Hivi HSC waliwaahidi ubingwa wa VPL au bus?Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani