John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Vichekesho kama hivi tunabonya ngapi?Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika.
Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022
- 31st May 2023)
1. Al Ahly [emoji1093]
2. Wydad [emoji1173]
3. Zamalek [emoji1093]
4. Pyramids [emoji1093]
5. Sundowns [emoji1221]
6. Young Africans [emoji1241]
7. Raja [emoji1173]
8. AS FAR [emoji1173]
9. Future FC [emoji1093]
10. CR Belouizdad [emoji1026]
11. Al-Hilal [emoji1232]
12. USM Alger [emoji1026]
13. Simba SC [emoji1241]
Mwakan tunaingia 3 bora baada ya kutinga final ya champion leagueSeen and ignored
Manara aliwabatiza jina sahihi ''HAMNAZO''Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika.
Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022
- 31st May 2023)
1. Al Ahly [emoji1093]
2. Wydad [emoji1173]
3. Zamalek [emoji1093]
4. Pyramids [emoji1093]
5. Sundowns [emoji1221]
6. Young Africans [emoji1241]
7. Raja [emoji1173]
8. AS FAR [emoji1173]
9. Future FC [emoji1093]
10. CR Belouizdad [emoji1026]
11. Al-Hilal [emoji1232]
12. USM Alger [emoji1026]
13. Simba SC [emoji1241]
Seen and envyingSeen and ignored
Seen and ignored
Ya wapi hiyo View attachment 2659545
Kuweni na akili japo kisoda, hivi Future fc imefanya kipi cha kuizidi Simba sc au Cr Belouzadad?, Manara akisema hamna akili hakika yuko sawa
Kuna namna watu hujipofua pasipokujua. Mleta uzi ameleta taarifa na chanzo, na taarifa yake ni kuhusiana na viwango vya mwezi June.Vichekesho kama hivi tunabonya ngapi?
Inakuwaje aliyechukua kombe mshindi wa kwanza awe no 12, mshindi wa pili no 6?Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika.
Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022
- 31st May 2023)
1. Al Ahly πͺπ¬
2. Wydad π²π¦
3. Zamalek πͺπ¬
4. Pyramids πͺπ¬
5. Sundowns πΏπ¦
6. Young Africans πΉπΏ
7. Raja π²π¦
8. AS FAR π²π¦
9. Future FC πͺπ¬
10. CR Belouizdad π©πΏ
11. Al-Hilal πΈπ©
12. USM Alger π©πΏ
13. Simba SC πΉπΏ
Tafti za hawa jamaa hua zina maswali mengi sanaInakuwaje aliyechukua kombe mshindi wa kwanza awe no 12, mshindi wa pili no 6?
Mambo hayaendi hivyo, yani hata mkichukua kombe lenyewe bado hamuwezi kuwa wa tatu au kuisogelea top three.Mwakan tunaingia 3 bora baada ya kutinga final ya champion league