Yanga yapanda nafasi ya 6 kwa ubora Afrika

Kwa hiyo mwezi june umeona perfomance ya Mamelod wapi?, unajua Mamelod mara ya mwisho ilicheza lini?, na kama hawajacheza hiyo perfomance ya mwezi june kwa nini wazihusishe timu ambazo hazikucheza kwa mwezi huo?
 
Chukua hiyo...

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Na kuna vinyesi wamekuamini na kukushangilia. Yanga ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Wewe mwenyewe ni kiazi kitamu. Piga hesabu wewe utuambie Yanga wana point ngapi?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Huo mtandao ni mali ya CAF?

Kama sio takwimu halisi za CAF zinasemaje?

Au usinijibu kausha tu
 
Bado unaendelea kuleta hadithi za Kitopolo tu.
 
Takwimu za Yanga zinapanda na kushuka kama presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…