Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

kuna ukweli kwenye hili?

Wamepelekaje?

Iko wapi barua?
Iko wapi video?

TBC NI UKWELI & UHAKIKA ?

Hapo tukichangia itakua tunabishana na tetesi nafkiri tungepata kwanza uhakika Wa hiyo barua ndipo tufunguke

Time will tell



Fullstop, kwishaaaa
Mimi sijawahi kukosea. Mungu aliniumba 'special edition'.

Trust me bro!
 

Huu ndo ulikua Uchochoro.
Wamkatae Kua Hawakumtuma.
 
Huo utetezi upo wapi mzee?

 
Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?😀😀😀😀
Wenye akili Yanga walikuwa wawili tuu.. Zingatia neno WALIKUWA!
 
Yanga wamejichanganya. FIFA wakilivalia njuga hili suala hapa ili kutoka salama viongozi wa yanga wamkane injinia na wamchukulie hatua za kinidhamu. Hata uko FIFA wakitoa adhabu watamshughulikia injinia mwenyewe binafsi sio yanga kama taasisi
 

Katika utetezi wao wanasema pia ile video iliyosambaa ilidukuliwa na kwamba Hersi hakutamka maneno yale.

KWA SAUTI YA MC GALLA B "hiyo ya pili naomba urudie"
 
Kama Rais wa Vilabu hajui kuwa Vilabu haviruhusiwi kusapoti vyama vya siasa 😂😂 kazi ipo
 
hahahaaa eti Bwa. Hersi kuwa makini kaka utapigwa na wenye timu yao
 
Mc Gara B alimuuliza Hersi
Hersi akarudia tena kusema vile vile kuwa Yanga inachangia 100M.

Waache upumbavu,wawajibishwe.
 
Ndiyo maana nasema wamejiandaa kwa hilo. Wanakuja kumpa uwaziri wa huko huko kwenye michezo kuonyesha kwamba hawayumbishwi na kwamba "ukiwatetea nao watakulinda".
waziri bila kiti bungeni?
 
Unaumwa si bure
 
Mkuu fifa alisimamishwa sepp blater, leo hii yanga mkuu, kuna fifa na caf, fifa wakikuvalia njuga hutoboi



Fullstop, kwishaaaaaa
Ile ya akina Sepp Blater ilikuwa Vita ya uchafuzi FIFA.
Yanga wanaweza kusalimika Ila walikosea Sana.
Like ninanguko la Hersi Said. Unapoambiwa kijana anaweza kuwa kiongozi mzuri lakini ujana wake unaweza kusababisha afanye maamuzi mengine kwa kukurupuka Ni sakata hili Sasa kwa Hersi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…