Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

Maisha hayana formula, CHADEMA imefungiwa na Yanga ipo kwenye hatihati ya kufungiwa.

Wanaoandikaga hizi script katika siasa zetu wangeingia Bongo Movie tungekuwa mbali saaana.
 
Kwa hiyo FIFAhawana wataalamu wa uchunguzi wa video zilizodukuliwa?😆😆 Huenda wenye akili wameisha hapo utopoloni hata wale wawili zimepingua
 
Kumbe jambo lipo serious hivi
 
Hersi ni corrupt sana ila kinachomuokoa ni vitu viwili.
1. Yanga imeonekana imefanya vizuri chini ya uongozi wake so awe anafanya ubadhirifu wa fedha za Yanga au NOt fans don't care as long as timu inashinda mataji...
2. Hesabu za Yanga hazikaguliwi na mkaguzi wa nje
 
Mtoa mada ni mzushi tu. Aweke hiyo barua hapa badala ya kutuletea habari zake za kwenye vijiwe vya kahawa.
Huyu jamaa ana hisia kali sana juu ya Yanga na anajua timu yao mbovu hawawezi ku battle na Yanga uwanjani njia pekee iliyo baki ni majungu
 
Kwa hiyo FIFAhawana wataalamu wa uchunguzi wa video zilizodukuliwa?😆😆 Huenda wenye akili wameisha hapo utopoloni hata wale wawili zimepingua
Tarehe 16 sio mbali endeleeni kujenga timu tukianza kugawa vipigo mfurulizo hatutaki lawama
 
Mpka page ya 5 sijaona barua wala gazeti, aliwewaita mbumbumbu haikua bahati mbaya
 
Utetezi wao unachekesha bila shaka uliandaliwa na mawakili wao wanaoshindwa kesi Kila siku.
Kama injinia alitoa kauli bila kuhusisha vikao vya yanga wamenchukulia hata gani?
 
Utetezi wao unachekesha bila shaka uliandaliwa na mawakili wao wanaoshindwa kesi Kila siku.
Kama injinia alitoa kauli bila kuhusisha vikao vya yanga wamenchukulia hata gani?
Simple.
Tutawajibu kua tunasubiri mkutano mkuu utakaofanyika mwaka huu, tupendekeze apelekwe kwenye kamati ya maadili, huko tutaelekeza (nyuma ya pazia) asamehewe kwa kupewa karipio kali na kutakiwa kuandika barua ya kuomba msamaha wa kinafiki.
Ikitupendeza tutaongea na CCM kuwa tutawaandikia barua ya kinafiki kua turudishiwe mchango wetu.
 
FIFA hawawezi kuwapa huo muda kumbe ndio maana kesi zenu mnashindwa kama hizo ndio akili zenu?
 
Sasa wewe ulitakaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…