Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

Ulitaka wasijitetee ili FIFA iwapige ban au 😑mbona mna roho mbayaaa hivi nyie watu wa chadema
Kila sehem mnataka kuharibu
 
Sasa case itaisha juu juu na yanga itaendelea na mpira na ccm inaenda kushinda chadema kinakufa na roho mbaya zenu
 
Mimi naona cha Msingi ni Hersi ajiuzulu mapema kwa maslai mapana ya Club..
 
Wewe ndiye mjinga. Tena mjinga sana. Utetezi wa Yanga u wapi ili tuiamini habari yako? GT bado tupo JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…