Yanga yashtakiwa tena TFF

Kipindi bangala ana sema uwezekano wa kubaki Yanga ni 20% ulielewa nini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Jaman hv mmesikia wap kwamba wameishtaki yanga? Wabongo mna nn lakini? Yan mchezaji aombe kuvunja mkataba coz hana furaha au haja ya kuendelea na klabu, then club inampa option 2, 1)timu inatokutaka ije mezani tuzunguzme 2) Kama unataka kuvunja mwenyew basi lipa kiasi fulan uwe huru... Hapo yanga walichokosea ni nn haswa? Acheni ujinga na upotoshaji.. hapo ili wachomoke ni hizo vipengele viwili au cha tatu basi waende kwa mkopo basi
 
Mama aliibaka yanga swala la fei
 
At least kama Mkataba kuvunjwa ni ngumu basi wawaruhusu waendelee kuitumikia team kama walivoomba

Hapo kuna ugumu gani?
Hakuna ugumu ila kile kipigo Cha 2-0 kutoka makolo msimu ulioisha dah???
 
Inaonekana unamkubali Sana Bangala maana kila Uzi unakazia Simba wamsajili... Mbona kwenye hiyo nafasi naona kabisa Simba wapo Bora maana Bangala NI mzuri akicheza kiungo mkabaji Ila ukitaka acheze full beki utajuta... Labda michuano ya ndani lakini CAF champions League Hana utajuta
 

Hawako Bora kuizidi yanga.
Aucho.
Mudathiri.
Sure boy.
Zoazoa.
.................................
Kanute.
NGOMA.
Mzamiru.
Na huyo mtoto

Simba inatatizo hapo tangu Lwanga Aondoke.
 
Halafu husi ziongelee timu nyingine hali yao kiuchumi, kwani dirisha halijafungwa au may be unalijua dau la Bangala na Djuma au timu zinazo wataka.
Unadhani najali basi kuhusu yote unayosema? Mm nachojua janja janja mingi mwisho ni kuangukia pua. Janja janja atajulikana tu.
 
Kwa nn unaita Mwaliko? Sema ukweli... ule UBWABWA ndo umewaponza! Punguzeni UROHO
 
Aloooooooooooo.
watu wanateseka na yanga yetuuuuuu
 
yanga mpaka sasa Ina wachezaji 15 na inaongeza mchezaji mwingine. wanawaiga Simba lakini Simba inajitahidi kumalizana na wachezaji wake vizuri hivyo tusubiri kesi nyingine FIFA
 
Unadhani najali basi kuhusu yote unayosema? Mm nachojua janja janja mingi mwisho ni kuangukia pua. Janja janja atajulikana tu.
Janja janja nini.....wakati mikataba ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…