Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Inamaanisha hoja hiyo pamoja na kuwekwa mwisho ina umuhimu sawa na hoja zingine zilizotamkwa kabla yake .
Wamesema sio kwa umuhimu, afu ww unakuja kusema ina umuhimu.

Hv unajua kusoma kweli ww?
 
Wamesema sio kwa umuhimu, afu ww unakuja kusema ina umuhimu.

Hv unajua kusoma kweli ww?
Nimesoma vizuri mkuu. Na wako sahihi. Mwisho lakini si ya mwisho kwa umuhimu. Ingeweza kuwa hoja ya kwanza kutamkwa au inafanana na hizo zingine. Hiyo sentensi inaonyesha hilo jambo pia ni muhimu
 
BAAAAAAAS.....Kwa sauri ya Joti
 
Wahuni Tu hao,tarehe mechi ikipangwa wataleta Timu uwanjani...Tatizo la hii Timu mambo yao mengi wanayaendesha kienyeji enyeji
 
Wahuni tu hao tarehe ya mechi ikipangwa wataleta Timu na mechi Itachezwa. Tatizo la Timu hii ni kuendeshwa kienye enyeji kama kundi la waganga...Imagine HERSI kiongozi,Mshauri Arafat ,Kamwe na Privadinho
 
Bodi ya ligi ni Mali ya Tff au ni Mali ya vilabu.

Upatikanaji wa viongozi unafuata utashi wa kiongozi wa tff au utashi wa vilabu.
 
Kwani kikao cha bodi ya ligi, kilipelekewa malalamiko na nani hadi wakaamua kuitisha kikao?
Simba na Ofisa usalama wa mchezo

Someni Aya ys mwisho kwenye hii barua ya Bodi ya Ligi mtaelewa logic yao hatakama haina ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…