Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Wamesema sio kwa umuhimu, afu ww unakuja kusema ina umuhimu.Inamaanisha hoja hiyo pamoja na kuwekwa mwisho ina umuhimu sawa na hoja zingine zilizotamkwa kabla yake .
Hv unajua kusoma kweli ww?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesema sio kwa umuhimu, afu ww unakuja kusema ina umuhimu.Inamaanisha hoja hiyo pamoja na kuwekwa mwisho ina umuhimu sawa na hoja zingine zilizotamkwa kabla yake .
Nimesoma vizuri mkuu. Na wako sahihi. Mwisho lakini si ya mwisho kwa umuhimu. Ingeweza kuwa hoja ya kwanza kutamkwa au inafanana na hizo zingine. Hiyo sentensi inaonyesha hilo jambo pia ni muhimuWamesema sio kwa umuhimu, afu ww unakuja kusema ina umuhimu.
Hv unajua kusoma kweli ww?
BAAAAAAAS.....Kwa sauri ya JotiKamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025.
Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo na kueleza kuwa walifuata taratibu zote za maandalizi. Klabu hiyo imeeleza kuwa Simba ilishindwa kufuata utaratibu wa kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mkapa, jambo lililopelekea mgogoro uliosababisha wao kugomea mechi.
Kutokana na hali hiyo, Yanga imedai kupewa ushindi kwa mujibu wa kanuni, ikakataa kushiriki mechi hiyo kwa tarehe yoyote mpya itakayopangwa, na kutangaza kukosa imani na Kamati ya Uendeshaji ya Ligi Kuu chini ya Steven Mnguto.
Klabu hiyo imeiomba TFF kuivunja kamati hiyo na kuteua viongozi wapya.
Soma: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
==
TAARIFA KWA UMMA
MACHI 09, 2025
Kamati ya Utendaji ya YANGA, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said imefanya Kikao cha dharura leo tarehe 9 Machi 2025 kwa njia ya mtandao kujadiliana na kukubaliana mambo yafuatayo;
Kwanza, Uongozi wa YANGA unatoa pole kwa Wanachama, Mashabiki, Wapenzi na wadau wamchezo wa mpira wa miguu waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali duniani na kushindwa kushuhudia mechi yetu dhidi ya Klabu ya Simba iliyokuwa ifanyike jana tarehe 8 Machi 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Klabu ya YANGA ilifanya maandalizi yote ya mchezo kama inavyoelekezwa kwenye kanuni ikiwemo kushiriki kwenye kikao cha maandalizi ya mechi [MCM] kilichofanyika tarehe 7 Machi 2025, saa 8 mchana kwenye Hoteli ya Spice, Jijini Dar es Salaam.
Kwenye kikao hicho ambacho kilihudhuriwa na Klabu ya YANGA na Simba, wasimamizi wa mchezo ikiwemo Mratibu wa mchezo, Afisa Usalama wa mchezo, Mtathimini Waamuzi, Kamishna wa mchezo na watendaji wa Bodi ya Ligi, Klabu ya Simba haikutoa taarifa ya kutaka kuutumia uwanja wa Mkapa siku moja kabla ya mchezo husika kwa ajili ya kufanya mazoezi kama kanuni inavyoruhusu.
Katika hali ya kushangaza, Usiku wa tarehe 7 Machi, 2025, Klabu ya Simba iliwasili katika uwanja wa Mkapa ikiwa na magari kadhaa, kwa ajili ya kufanya mazoezi huku wakifahamu hawakuwa wamefuata taratibu za kupata haki yao ya kikanuni kama ilivyoainishwa kwenye taarifa ya Bodi ya Ligi, ikiwemo kuleta ombi hilo kwenye MCM, kuwasiliana na Msimamizi wa mchezo, Meneja wa Uwanja wala timu mwenyeji ambayo ni YANGA.
Mamlaka ya Uwanja ilikataa kuwaruhusu kuingia ndani ya Uwanja kwa sababu hakuku- wa na taarifa wala maandalizi yoyote yaliyofanywa kwa ajili yao, na baada ya kuwepo kwa sintofahamu hiyo, Klabu ya Simba iliamua kuondoka uwanjani hapo.
Usiku wa kuamkia siku ya mchezo, tarehe 8, Machi 2025, Klabu ya Simba ilitoa tamko rasmi la kugomea mchezo huo kwa kigezo cha kutopata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi, huku wakielewa dhahiri kwamba hawakuwa wamefata taratibu.
Huku kukiwa na taharuki kwa wapenzi wengi wa soka kuhusu uwepo wa mchezo huo baada ya tamko hilo la Klabu ya Simba, asubuhi ya tarehe 8 Machi 2025 Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mnguto alinukuliwa na vyombo vya habari akiwatoa wasiwasi na kuwahakikisha mashabiki waende uwanjani kwa sababu ratiba ya mchezo huu namba 184, iko palepale hakuna kilichobadilika.
Lakini licha ya tamko hilo la Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, mchana wa siku hiyo hiyo, tarehe 8 Machi 2025, Kamati ya Uendeshaji ya Ligi Kuu ambayo Mwenyekiti wake ni Steven Mnguto ilitoa taarifa ya kuahirisha mechi namba 184, kinyume na taratibu na Kanuni zinazoendesha Ligi Kuu.
Kutokana na maelezo hayo hapo juu, ufuatao ndio msimamo wa Kamati ya Utendaji wa YANGA;
1: Klabu ya YANGA kupewa haki yake ya ushindi kama inavyoelezwa kwenye kanuni, pindi timu moja inapogomea mechi.
2: Kamati ya Utendaji ya YANGA imekubaliana kutoshiriki mchezo namba 184 kwa tarehe yoyote itakayopangwa.
3. Kutokana na mfululizo wa uvunjifu na kushindwa kusimamia kanuni za Ligi Kuu, Klabu ya YANGA imekosa imani na Kamati ya Uendeshaji ya Ligi Kuu, chini ya Mwenyekiti wake Steven Mnguto na Katibu wa Kamati hiyo Almas Kasongo, hivyo tunaliomba Shirikisho la Mpira wa miguu - TFF kuivunja kamati hiyo na kuteua viongozi wengine waadilifu na wenye nia njema kwa maslahi mapana ya mpira wetu.
Mwisho, lakini siyo kwa umuhimu, tunawaomba wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga kote duniani kuendelea kuwa watulivu wakati Uongozi ukiendelea na taratibu za kuhakikisha kuwa sheria na taratibu za uendeshaji wa mpira wa miguu, na harakati za kudai haki yetu zikiendelea.
Imetolewa na Kamati Ya Utendaji
Young Africans Sports Club
09.03.2025
Wahuni Tu hao,tarehe mechi ikipangwa wataleta Timu uwanjani...Tatizo la hii Timu mambo yao mengi wanayaendesha kienyeji enyejiKamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025.

Wahuni tu hao tarehe ya mechi ikipangwa wataleta Timu na mechi Itachezwa. Tatizo la Timu hii ni kuendeshwa kienye enyeji kama kundi la waganga...Imagine HERSI kiongozi,Mshauri Arafat ,Kamwe na PrivadinhoKamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025.

Bodi ya ligi ni Mali ya Tff au ni Mali ya vilabu.Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025.

Kanuni pia zina taratibu zakeHizi barua zitaisha tu na hazitajibiwa na Bodi ya Ligi,sasa Subiri muone motoo.
Mmeanza kuvunja kanuni mnataka kuzingatia kanuni tena
This is low kutoka kwako. Hujaandika kiuhalisia bali kishabiki tu.Nimependa hapo mwishoni ety
Mwisho, lakini sio kwa umuhimu
Kwamba wanasoka hamna umuhimu kuombwa radhi 😂
Kwani kikao cha bodi ya ligi, kilipelekewa malalamiko na nani hadi wakaamua kuitisha kikao?Mh unasifia ujinga,hiyo barua mmeuandikia UMMA sio Bodi ya ya ligi kudai Point 3
Simba na Ofisa usalama wa mchezoKwani kikao cha bodi ya ligi, kilipelekewa malalamiko na nani hadi wakaamua kuitisha kikao?
Kwahy hayo maneno hayapo kwenye hy barua?This is low kutoka kwako. Hujaandika kiuhalisia bali kishabiki tu.
Una maandishi au clip ya hiki unachokisema?Simba na Ofisa usalama wa mchezo
Haya maneno, nakunukuu ...Kwamba wanasoka hamna umuhimu kuombwa radhi ...mwisho wa kukunukuu, hayamo kwenye barua, ni utashi wakoKwahy hayo maneno hayapo kwenye hy barua?
Soma paragraph ya mwisho ya barua ya bodi ya ligiUna maandishi au clip ya hiki unachokisema?
Kwahy hy kauli yao inamaanisha nnHaya maneno, nakunukuu ...Kwamba wanasoka hamna umuhimu kuombwa radhi ...mwisho wa kukunukuu, hayamo kwenye barua, ni utashi wako
Mlalamikaji ni afisa usalama, na siyo Simba..!!Soma paragraph ya mwisho ya barua ya bodi ya ligi
Kuna uzi nimekutag una majibu yakeMlalamikaji ni afisa usalama, na siyo Simba..!!
Kwahy hy kauli yao inamaanisha nn
Sijauona, niwekee hapaKuna uzi nimekutag una majibu yake
Leta kwa Kiswahili mzee, h inalainisha maana.