Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Tunakoelekea,Kuna siku simba itakuwa kama CUF!
IKISHATOWEKA,HUU UBISHI UTAISHA,WATANGANYIKA WATAFANYA KAZI KWA BIDII,NA KUEPUKA VIJIWE VYA MIPIRA
 
Salam wanamichezo.

Tukio la kuahirishwa kwa dabi ya kariakoo halikutokea bahati mbaya ila ilikua "script" na "mamlaka"(sio mamlaka ya soka).

Mechi itapangiwa tarehe nyingine itachezwa bila shida yoyote.

Hii nchi ni mabingwa wa kutengeneza matukio ili kufunika matukio fulani kwa manufaa ya "wenye mamlaka"
 
Iko wazi kabisa.Watu wana kaza tu vichwa
 
Una hoja nasikia usalama wote walikuwa arusha
 
Utadhani wqnaongea jambo la maana watu wazima kumbe Utopolo mtupu.

Bodi ivunjwe kwa utopolo wenu?

Hebu acheni ujinga bhana. Hiyo imetoka subirini ratiba mpya itoke muache kupeleka timu ndio mtajua pointi zinakoelekea bila hata mhusika kuzidai
 
Ukimwaga mboga, watu wanamwaga ugali, pumbaf.

Simba walikimbia fehdheha ya kuchapwa ila bado point 3 wamezipoteza.
Sasa mchezo utapangiwa tarehe nyingine ole wenu msipeleke timu uwanjani mtakatwa point 3 goli 3 pamoja na kushushwa daraja utopolo wakubwa nyie mmezoea kubembelezwa?

Asee mtu akikuita wewe yanga usikubali pigana ni tusi kubwa
 
Timu ilikuwepo kwa mkapa mkakimbia. Kuzira fc. Point tatu haki yetu
Mechi ilikuepo au iliahirishwa?
Kuna Refa yeyote aliyefika uwanjani au mliku nyie utopolo na mabaunsa wenu tu?
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama wewe sio CHIZI.
 
😃😃Sasa umeandika nini? Sema kutoa tamko kuwa hawatacheza mechi sio kugomea?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…