joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yanga haukupata taarifa OFFICIALLY........? Yanga ni taasisi haifanya kazi kupotia social media.Twende uwanjani kufanyaje na mechi imefutwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga haukupata taarifa OFFICIALLY........? Yanga ni taasisi haifanya kazi kupotia social media.Twende uwanjani kufanyaje na mechi imefutwa?
Ieleweke kwamba simba hakugoma ila mechi ndo imeahirishwa
Sawa kama haikupata.Yanga haukupata taarifa OFFICIALLY........? Yanga ni taasisi haifanya kazi kupotia social media.
Umeona wapi timu inasusia mechi baada ya kutofanya mazoezi siku moja kabla ya mechi. Au kun kanuni yoyote inayosema kama umezuiwa kufanya mazoezi ruksa kususa.
View: https://www.instagram.com/reel/DG-B8NUsBKg/?igsh=eXJ1cjhycWx0MmQ0
CAF huko Uarabuni kila msimu timu zinafanyiwa figisu mpaka wanazuiwa kutumia uwanja,ila mechi inapigwa maamuzi yanakuja kutolewa baada ya CAF kupokea ripoti ya mechi.
Na TFF wanaimudu.Hapa sio uarabuni,hapanibingoland.
Iko wazi kabisa.Watu wana kaza tu vichwaSalam wanamichezo.
Tukio la kuahirishwa kwa dabi ya kariakoo halikutokea bahati mbaya ila ilikua "script" na "mamlaka"(sio mamlaka ya soka).
Mechi itapangiwa tarehe nyingine itachezwa bila shida yoyote.
Hii nchi ni mabingwa wa kutengeneza matukio ili kufunika matukio fulani kwa manufaa ya "wenye mamlaka"
Utopolo ulikimbia nini 2021Mtani alikimbia kipigo 😀 😀
Una hoja nasikia usalama wote walikuwa arushaSalam wanamichezo.
Tukio la kuahirishwa kwa dabi ya kariakoo halikutokea bahati mbaya ila ilikua "script" na "mamlaka"(sio mamlaka ya soka).
Mechi itapangiwa tarehe nyingine itachezwa bila shida yoyote.
Hii nchi ni mabingwa wa kutengeneza matukio ili kufunika matukio fulani kwa manufaa ya "wenye mamlaka"
Sasa mchezo utapangiwa tarehe nyingine ole wenu msipeleke timu uwanjani mtakatwa point 3 goli 3 pamoja na kushushwa daraja utopolo wakubwa nyie mmezoea kubembelezwa?Ukimwaga mboga, watu wanamwaga ugali, pumbaf.
Simba walikimbia fehdheha ya kuchapwa ila bado point 3 wamezipoteza.
Mechi ilikuepo au iliahirishwa?Timu ilikuwepo kwa mkapa mkakimbia. Kuzira fc. Point tatu haki yetu
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama wewe sio CHIZI.Kukujibu nini?Umekiri hujaa uwanjani sasa kama umesusa huoni tayari umekosea tena umesema huji na kanuni zipo wazi asiye kuja hastahili point tatu.
Halafu hiyo comment sijareply kwako kama vip msaidie kujibu?Huo nimeanza kumjibu mda mrefu au ulitaka ni mwache.....?
Uzuri nakujua wewe MWENDAWAZIMU.Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama wewe sio CHIZI.
😃😃Sasa umeandika nini? Sema kutoa tamko kuwa hawatacheza mechi sio kugomea?.Simba hawana mamlaka au kanuni za kuhairisha mechi, hayo mamlaka ni ya TFF.
Kugomea mechi maana yake hujaleta timu uwanjani na sio umeandika kuwa hutacheza mechi.
TFF isingehairisha mechi kisha Simba wasitokee hapo ndo ingekuwa rasmi kuwa Simba haikuleta timu na p3 halali zingepelekwa kwa Yanga.
Binafsi ndo nililotegemea, then TFF akaja akasema hakuna mechi kabla ya muda wa mechi, ikawa imeisha hiyo. Kuanzia hapo, vita vyenu si na Simba, sasa hivi mnapigana na Serikali yaani TFF.
Sawa sawa boss.😃😃Sasa umeandika nini? Sema kutoa tamko kuwa hawatacheza mechi sio kugomea?.